qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Hili somo ni kubwa sana linapita uwezo wako unaotumia sasa.
Kwa mleta mada nadhani you are wrong....Mungu ana upendo kweli hawezi kuwafanya watu wake hivyo......think
Mungu yupo na ni mkuu mno,nimekua mfatiliaji mzuri sana wa historia ya wana wa israel katka biblia,na hiyo ilinifanya nizidi kuamini uweza na uwepo wa Mungu katika maisha ya mwanadamu,farao alipigwa mapigo.makuu na mwisho akaamini kuwa Mungu wa israel ndie Mungu,
Mbona we Mungu wako kahukumiwa na kiumbe chake mbona hatusemi? Tena baada ya hukumu kupita ya kupigiliwa misumari minne msalabani, viumbe wake wengine (seremala) wakamuibia msumari wake mmoja. Badala ya kumpigilia misumari minne wao wakachakachua mmoja na kumpigilia mitatu tu na mwingine wakasepa nao.Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.
mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.
Umekutana nae Kariakoo?
Mbona we Mungu wako kahukumiwa na kiumbe chake mbona hatusemi? Tena baada ya hukumu kupita ya kupigiliwa misumari minne msalabani, viumbe wake wengine (seremala) wakamuibia msumari wake mmoja. Badala ya kumpigilia misumari minne wao wakachakachua mmoja na kumpigilia mitatu tu na mwingine wakasepa nao.
Umekutana nae Kariakoo?
Watu wa aina hii walikuepo zamani sana tena zamani kweli
View attachment 143306 quran imesema haya tangu karne ya tano
Mungu yupo jamani na kiukweli,ushawahi jiuliza mbona hatukumbuki tulifikaje duniani na mbona hatujui tulivyokua tumboni tuliishije? Mungu yupo katika imani.
Nyie nyote wasanii..naomba mjikite kwenye sayansi..wacha mambo ya ajabuajabu..mtauwana bure..kumbe ni mambo yakufikirika..
Ni ignorance yako tu ndo inakuambia Bible ni Primitive; lakini mimi nasema Bible is a living book na ndo maana ukiisoma na kufanya application yake leo utaifanya miujiza aliyofanya Eliya, Elisha na Yesu.
Kama unataka kujiunga na waliomkufuru Mungu fanya Publically halafu uandike kwenye diary siku uliyokufuru ili watu warekodi kujua ulikufa siku ngapi baada ya kukufuru. Ila tu elewa tunaye Mungu aliye hai na anakuona ukiandika.
Usisahau kunipa mstari kwenye bible unaosema Dunia ni flat kwa sababu najua haupo
Somo kubwa la kufikirika..hamna logic..evidence.. mbwembwe nyingi..kama ni somo kubwa la namna hii basi ukubwa wake unatia shaka
Mungu ni mmjoja,wote tunamwabudu.huyohuyo,sema tu tumegawanyika kiitikadi,Mungu yupo na uweza wake ni mkuu
Maneno yako ni kama "miujiza" "maajabu"
hayo maneno yote umepata kwenye vitabu vyenu vitakatifu.. hivi unajua waandishi wenu wa mateso ya yesu wanajichanganya.. hawajui hata yesu alivaa vazi la langi gani.. na mateso hawajui mateso yalianza saa ngapi.. hii hekima ya mungu muweza iko wapi hapa?