Hahaha,
Ushaanza kujitoa kwa kusema hayakuhusu.
Sasa kama hayakuhusu umeingia kwenye thread na kupost kwa minajili gani?
Ungemalizia tu kuwa na uwezo huo hana
Nisawa na utake gari likuthibitishie kuwa fulani ndie aliyelitengeneza wakati unajua kabisa kuwa gari halina uwezo wa kutambua achilia mbali uwezo wa kukueleza!
Kwanza hujataja hayo majibu uliyodai sina
Pili hujasema kama yananihusu
Apart from that,ninachokifanya hapa nikukufahamisha kuwa unatafuta kinyesi jikoni jambo ambalo ni gumu sana kukipata!
Maswali gani?Nimekupa maswali, majibu hujatoa, unarukaruka tu.
Nyie ndio mnaokula chooni na mimi nikiwaambua hapa chooni pachafu hapafai kula, mnasema katika imani yetu kinyesi ni chakula.
You are putting the cart before the horse.
Habari nzima ya kulinganisha binadamu alivyoumbwa na mungu na gari lilivyoumbwa na binadamu inakuweka katika awkward position ya kuona kwamba kwa kuwa unadai.huyo binadamu aliyetengeneza gari naye kaumbwa na mungu, basi kama binadamu aliyetengeneza gari alovhoumbwa na mungu basi na huyo mungu aliyemuumba binadamu ana muumba wake naye pia, if at all hakuna kilichopo ambacho hakijaumbwa.
Else, the entire question is bizarre and founded on shaky ground.
That was not my point
Mimi nimetoa mfano na mimi ndio ungeniuliza nilichomaanisha na sio wewe kusema nilichokuwa namaanisha
Mfano wangu ulikua umejikita kwenye uwezo wa gari kutambua na sio kwenye kuwa na mtengenezaji
Gari limetengenezwa na binadamu lakini je linaweza kumtambua mtengenezaji wake kuwa ni binadamu tu achilia mbali jina lake?
Kama unataka kujua sababu ya gari kuwekewa break utaliuliza gari au mtengenezaji [rejea kuumbwa kwa shetani]
Kama gari haliwezi kumtambua mtengenezaji litawezaje kujua sababu ya kuwekewa break?
Ndio maana Samaritan anakuambia kuwa unashindwa kuelewa vitu vidogo,lakini mimi nasema huenda ukawa huna kabisa uwezo wa kuelewa
Kama unajua kabisa binadamu na kanuni zake hawezi kuthibitisha uwepo wa Mungu kwasababu binadamu mwenyewe na kanuni zake kaumbwa na Mungu,ni kitu gani kinakufanya uendelee kuuliza hapa uthibitisho wa uwepo wa Mungu wakati Mungu mwenyewe ndio mwenye uwezo huo?
Au unadhani Mungu ni mwanachama wa JF na anaweza kusoma madai yako na akakujibu?
Thibitisha kwamba mungu yupo na ndiye aliyemuumba binadamu.
La, ukishindwa, kubali kwamba hizi ni hadithi tu usizoweza kuthibitidha.
Kwa wasiokiamini kitabu hicho wasome wapi?JAMANI TAFADHALI MSIFANYE MZAHA. MUNGU HADHIHAKIWI...! NAMWOMBA MUNGU AJIDHIHIRISHE KWA KILA ANAYEMBEZA
Kuna mfalme mmoja wa Babeli (NEBKADREZA) alikuwa anajiona mjanja sana na kumdharau MUNGU WA KWELI. MUNGU alipoamua kumwonyesha uwezo wake alikiri wazi kwamba hakuna mungu anayestahili kuabudiwa isipokuwa ni MUNGU MMOJA TU. (ni baada ya kumgeuza kama mnyama wa porini na kukaa kondeni kwa miaka 7)
Soma habari yake katika kitabu cha Danieli sura ya 4
JAMANI TAFADHALI MSIFANYE MZAHA. MUNGU HADHIHAKIWI...! NAMWOMBA MUNGU AJIDHIHIRISHE KWA KILA ANAYEMBEZA
Kuna mfalme mmoja wa Babeli (NEBKADREZA) alikuwa anajiona mjanja sana na kumdharau MUNGU WA KWELI. MUNGU alipoamua kumwonyesha uwezo wake alikiri wazi kwamba hakuna mungu anayestahili kuabudiwa isipokuwa ni MUNGU MMOJA TU. (ni baada ya kumgeuza kama mnyama wa porini na kukaa kondeni kwa miaka 7)
Soma habari yake katika kitabu cha Danieli sura ya 4
Nitakaguwa hii id baada masaa 48 kama bado iko active.Mimi.nimrkues nabisha kuwepo kea mungu tangu 1990.
Na sijajutia hilo mpaka leo, linsnipa clarity of mind tu.
Ondoa hsbari za kutaka kuleta ukondoo kwa hofu.
Mungu kama yupo anipige radi nife ndani ys masaa 24.
Naanza kuhesabu masaa.
Kwanini unataka nikuthibitishie?
Kwanini usitafute kuthibitisha wewe mwenyewe?
Au huwezi kufikiri?
Kwa wasiokiamini kitabu hicho wasome wapi?
Nimetafuta kuthibitisha nimeona mungu wenu anaji contradict.
Sasa mnaosema yupo mna kazi ya kuthibitisha kwamva yupo.
Nitakaguwa hii id baada masaa 48 kama bado iko active.
ili wewe ikusaidie nini !?Nimetafuta kuthibitisha nimeona mungu wenu anaji contradict.
Sasa mnaosema yupo mna kazi ya kuthibitisha kwamva yupo.
Ulitafuta wapi?
Mungu wetu yupi?
Wa wapi?
Kitendo tu cha kutafuta Mungu wa fulani ni kosa utawezaje kuthibitisha wakati unatafuta Mungu wa fulani?
Kila nguvu ina kanuni,Mungu nae ni hivyo pia,ulifuata kanuni gani kumtafuta huyo uliyemtafuta?
By the way,kama ulimtafuta Mungu wa fulani na ukaona kama ulivyoona kwanini unadhani ni tatizo la huyo Mungu na sio lako?
Usipoliona embe lililodondoka mtini hilo ni tatizo la macho yako kutokuona au ni la embe?
Embe linaonekana na wengine wewe unadai halionekani huoni tatizo ni lako?
Huyo Mungu uliyemtafuta na hukumuona huenda ni tatizo lako maana wengine hao "wenye" huyo Mungu wanamuona lakini wewe humuoni inawezekana hujafuata kanuni zitakazokufanya umuone
Lakini pia kama amejicontradict huoni tayari unakubali yupo?
Kisichokuwepo kinawezaje kujicontradict?
Na huyo Mungu uliyemtafuta ulijuaje kuwa unamtafuta Mungu na sio kitu ingine?
ili wewe ikusaidie nini !?
'Na hakika Sisi bila shaka tunajua kwamba miongoni mwenu wapo wanao gadhibisha. Na hakika bila shaka itakuwa majuto kwa wanao kataa !
Qur'an: 69:49.
Nataka kuona uwezo wa Mungu.Ikiwa active utafanya nini?
By the way si mara ya kwanza kuandika hivyo hapa JF.
Na sipati hata malaria!