Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Kweli Mungu yupo na ni mmoja tu hana mshirika, hivyo ni vema kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake. Mwisho Wa siku hatujui nani yupo sahihi muislamu au Christian.

Na huu ndio msingi wa thread,kwamba kila mtu awe huru kutoa maoni pasipo kumkosea heshima mwenzake
 
Ni huyu huyu wanadai alipambana na shetani kiumbe wake.. hivi hadi kupambana inamaana alishindwa kufanya projection na kujua kwamba ipo siku huyu kiumbe atanigeuka..je kwanini atupwe kwetu.. narudia tena utunzi wa vitabu hivi si makini

Mkuu achana na utunzi wa vitabu na criticism zisizokua na maana,thread inaelezea ukuu na uwepo wa Mungu,naamini hata wewe katika dini yako unamwamini Mungu,
 
Na huu ndio msingi wa thread,kwamba kila mtu awe huru kutoa maoni pasipo kumkosea heshima mwenzake

Well said dia bahati mbaya wengine hawajui hayo kila mtu anajiona sehemu anayoabudu ni sahihi kuliko mwenzake. Heshima inahitajika katika kila mtu anachokiamini
 

Yes,the holly Bible is the only living book under this world,wakubali wakatae but the truth will forever stand
 

Labda hukanipata vizuri. Nimesema baada ya wiki uje useme maneno hayohayo, nina uhakika kama yupo atajidhihirisha kwako na utakuja hapa utushuhudie kwamba you were wrong. Ila kama hayupo vilevile utatuambia hapa kuwa si nilisema hakuna kitu! Mbona kimya? Only one week for conformation.


Sent from my iPad using JamiiForums
 

wasiwasi wangu wewe utakavyokufa kutokana na kauli zako hatutaweza kujua. ila niko sure kwamba na wewe utaongezeka kwenye hii list
 
Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......

HUKU NA WATU WENYE MIZAA SANA

Rafiki ushawahi jiuliza wewe maisha yako yapo mikoni mwa nani
Mungu anakujua na anakupenda sana
 
wasiwasi wangu wewe utakavyokufa kutokana na kauli zako hatutaweza kujua. ila niko sure kwamba na wewe utaongezeka kwenye hii list

God shall eeveals his greatness towards all,
 
HUKU NA WATU WENYE MIZAA SANA

Rafiki ushawahi jiuliza wewe maisha yako yapo mikoni mwa nani
Mungu anakujua na anakupenda sana

Mkuu,Mungu amsamehe bure maana bila hivyo ghadhabu ya Mungu itakua juu yake na ni kuu mno
 
Hatuzungumzii dini hapa,tunazungumzia ukuu wa mungu kila mtu kwa imani yake pasipo kuitukana imani ya mwenzake,kwa imani yako si unaamini Mungu yupo?

ata mimi sikutaka niongelee dini,ila huyu kasema dini yake mungu wake ni makini sana..kwenye kitabu chake..nimempa mifano kuonesha si kweli anavyo fikiria..
mimi naongelea mungu muumba mbingu na nchi..bila kujali wa dini gani..
 

Ni juzi tu niliakuwa naangalia channell moja ya dini, kuna mtu alikuwa anaeleza haya mambo kwamba MUngu hadhiakiwi kila apandacho mtu, atavuna.
 
Kumbe wapo wengi hao akina Mungu?

Hujui mkuu.....Sijui kurani inasemaje lkn Biblia takatifu inasema "mimi ndimi mungu wako, usiabudu miungu wengine"....mfano ili umuone allah inabidi utambue kuwa mmuhamadi ndo mtume wake na yote ayafundishayo ni sawa lakini ili ufike Mbinguni umuone Mungu wa kweli ni lazima ukili na kuamini kuwa Yesu Mungu na Mkombozi wa ulimwengu wote na yeye mwenyewe Yesu anasema "MIMI NDIMI NJIA KWELI NA UZIMA, MTU HAJI KWA BABA BILA KUPITIA KWANGU".................Tubuni na kuamini injili sio hadithi za mtume
 
Ni kweli tu ikiwa wanamkana allah na kumuabudu Mungu wa kweli............mpaka sasa ni wana wapotevu

Na Mungu ni.mmoja,sisi binadamu tumejiwekea itikadi tofauti ila pamoja na itikadi hizo yabidi tuheshimiane na kila mmoja aheshimu imani ya mwingine
 
mungu wa yakobo na isaka is a fool and a murderous crazy pagan god.

Nilijua tu kuwa utakuja na moto wa kifuu.....sasa utauweza moto wa petrol wewe?.....Hapo ulipo umeshavaa mabomu tayari kujilipua
 
Hii mistari ukiiongeza kwenye kurani itawasaidia hata waislamu wenzio, nasikitika kuwa wewe peke yako ndo unajua haya. hebu nenda ka edit kurani basi kwanza
 
Na Mungu ni.mmoja,sisi binadamu tumejiwekea itikadi tofauti ila pamoja na itikadi hizo yabidi tuheshimiane na kila mmoja aheshimu imani ya mwingine

Sio uheshimu hata uchafu................inabidi umfundishe njia ya kweli naye aijue kweli
 
if m not mistaken john lennon alisema yesu akirudi atashangaa mana amekuwa maarufu zaid yake

alisema kama ifuatavyo namnukuu "I'm right and I will be proved right. We're more popular than Jesus now; I don't know which will go first — rock and roll or Christianity. sasa yako wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…