Acheni Mungu aitwe Mungu,[emoji122] [emoji122]1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Namba 3 na 4 hazina mshiko.1. Mtengenazaji meli ya titanic.

Shikamoo!Namba 3 na 4 hazina mshiko.
Namba 3 na 4 hazina mshiko.
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Mungu ana hikma zakeMbona kiranga hapati majanga yoyote miaka na miaka anakufuru akiwa na wasaidizi wake nusuhela
Usiseme hivyo...mrKiranga akipata majanga nitaamini aya maneno
Kama alivyofanya kwa kingungeMungu ana hikma zake
Kwanini mkuu yani kiranga kwa kumdhalilisha mungu alafu apati majangaaUsiseme hivyo...mr
Muachie mungu..huwezi jua labda keshatubu.Kwanini mkuu yani kiranga kwa kumdhalilisha mungu alafu apati majangaa
Nami nashangaa kabisa, alikuwa mpenda ukweliHuyu bidada kapotea kabisa humu au labda alibadili ID.
Ha ha ha! Mkuu hujui kuwa ID watu wanarisishana? Huyu mwenyewe anaweza kuwa kesha ........ni zaidi ya miaka sasa