Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I don't careWenzio walisema hivyo hivyo
Kama Mkuu Jose, umekomenti hivi basi ni kweli.Mungu hadhihakiwi
Mkuu hii kitu ilishaletwa humu jf 2014 ikajadiliwa sana1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na Mwandishi wa habari wa gazeti la [HASHTAG]#American[/HASHTAG] alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya [HASHTAG]#Yesu[/HASHTAG] yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.
2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata [HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.
3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la [HASHTAG]#Rio[/HASHTAG] #De [HASHTAG]#Janeiro[/HASHTAG], alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG], hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.
4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, Mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.
5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.
6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa Mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa Mama, huyo [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] labda akae kwenye boneti la gari".
Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.
7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama [HASHTAG]#Biblia[/HASHTAG]"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.
8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na [HASHTAG]#Bill[/HASHTAG] [HASHTAG]#Graham[/HASHTAG] na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji [HASHTAG]#Yesu[/HASHTAG] wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.
Huna AdabuUmemsahau mmoja, yule jaaa wa galilaya aliyejiita yeye ni mungu akaishia kutandikwa na kuwambwa msalabani na watu aliowaumba!!!!
kweli kabisa mkuu aiseeKama Mkuu Jose, umekomenti hivi basi ni kweli.
Mungu hadhihakiwi,
Kuna watu wanasema Mungu hayupo kwa sababu hawamjui na wala hawajawahi kupata taarifa zake.
Kuna wengine ambao ni wengi wanasumbuliwa tu na Kibri,
Kiburi cha Uzima, wakisha shiba Pilau na kulinywea maji baridi basi mabega juu, hata hawaulizi nani alitengeneza huo mpunga wa Pilau na Maji wanayo kula na kufulahi, na wala hawana wa kumshukuru kwa kuleta Pilau zaidi ya kumsifia aliye pika.
Wanaamini wao wapo duniani kwa miujiza tu, hakuna aliyewaumba.
Na mazingira yanayowalea kama, chakula, maji, Jua, hewa, nk, vipo kimiujizaijiza tu, hakuna aliyeviandaa kwa ajiri yao.
Pia wapo ambao wanapinga uwepo wa Mungu, lakini wanaujua ukweli kuwa Mungu yupo.
Usisumbuke mkuu dunia ina watu wa kila aina.
Wengine sifa yao ni Upinzani, yaani Wanapinga kila kitu, kiwe cha Ukweli au Uongo.
Ndivyo Walivyo.
Kitabu cha Mungu ni kipi?Ni kweli Mkuu Mungu si wakumfanyia mchezo. mimi naogopa kitabu cha Mungu na wala sifanyi mchezo na Mungu
Kumjua Mungu kuko katika kiini cha mtu -Kinachotokea ni kujitoa ufahamu pale mtu anapokua na kujitambua lakini Kumjua Mungu kuko pale pale ndio maana hata wasiomuamini humtaja kwa njia moja au nyingine iwe kwa kupinga au kwa ubaya kwa sababu Mungu yupo. Hata wanasayansi wameanza kukiri kuwa kuna wenyewe wanaita "inteligent Design" katika kila kilichotengenezwa dunianiKama Mkuu Jose, umekomenti hivi basi ni kweli.
Mungu hadhihakiwi,
Kuna watu wanasema Mungu hayupo kwa sababu hawamjui na wala hawajawahi kupata taarifa zake.
Kuna wengine ambao ni wengi wanasumbuliwa tu na Kibri,
Kiburi cha Uzima, wakisha shiba Pilau na kulinywea maji baridi basi mabega juu, hata hawaulizi nani alitengeneza huo mpunga wa Pilau na Maji wanayo kula na kufulahi, na wala hawana wa kumshukuru kwa kuleta Pilau zaidi ya kumsifia aliye pika.
Wanaamini wao wapo duniani kwa miujiza tu, hakuna aliyewaumba.
Na mazingira yanayowalea kama, chakula, maji, Jua, hewa, nk, vipo kimiujizaijiza tu, hakuna aliyeviandaa kwa ajiri yao.
Pia wapo ambao wanapinga uwepo wa Mungu, lakini wanaujua ukweli kuwa Mungu yupo.
Usisumbuke mkuu dunia ina watu wa kila aina.
Wengine sifa yao ni Upinzani, yaani Wanapinga kila kitu, kiwe cha Ukweli au Uongo.
Ndivyo Walivyo.
Ni kweli mkuu.Kumjua Mungu kuko katika kiini cha mtu -Kinachotokea ni kujitoa ufahamu pale mtu anapokua na kujitambua lakini Kumjua Mungu kuko pale pale ndio maana hata wasiomuamini humtaja kwa njia moja au nyingine iwe kwa kupinga au kwa ubaya kwa sababu Mungu yupo. Hata wanasayansi wameanza kukiri kuwa kuna wenyewe wanaita "inteligent Design" katika kila kilichotengenezwa duniani
Duu your days are numbered. Labda utafuatia wewe. Kama siyp kufa basi jiandae na majanga mazito. Mungu hadhihakiwi na mtu akabaki salama. Bora ungekaa kimya. Pia kumbuka dhambi ya kumuudhi roho mtakatifu haisamehewi.Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Nina testimony ya watu kibao waliomkufuru Mungu na wakapata madhara moja kwa moja tens hayachelewi. Tubu dhambi zako.Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
ni zaidi ya miaka sasaKama kweli hayupo nakuomba Leonard Robert baada ya wiki moja njoo hapa JF uje utoe ushuhuda kuwa hayupo. Pse ukitoa ushuhuda wako kuwa kweli hayupo ni mention ili nisiukose. Hebu tuanzie hapo naye MUNGU aliye mkuu ajidhihirishe kwako katika kipindi hicho.
Sent from my iPad using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasiwasi wangu wewe utakavyokufa kutokana na kauli zako hatutaweza kujua. ila niko sure kwamba na wewe utaongezeka kwenye hii list