hahaaa hahaa aiseeeMbona we Mungu wako kahukumiwa na kiumbe chake mbona hatusemi? Tena baada ya hukumu kupita ya kupigiliwa misumari minne msalabani, viumbe wake wengine (seremala) wakamuibia msumari wake mmoja. Badala ya kumpigilia misumari minne wao wakachakachua mmoja na kumpigilia mitatu tu na mwingine wakasepa nao.
acha udwanzi "" hao unaowaita kuwa walikufuru na wewe ambaye hujakufuru wote mtakufa .."" sasa faida ya wewe usiyekufuru iko wapi hapo ..ikiwa wote mtaionja adha ya umauti""Ni ignorance yako tu ndo inakuambia Bible ni Primitive; lakini mimi nasema Bible is a living book na ndo maana ukiisoma na kufanya application yake leo utaifanya miujiza aliyofanya Eliya, Elisha na Yesu.
Kama unataka kujiunga na waliomkufuru Mungu fanya Publically halafu uandike kwenye diary siku uliyokufuru ili watu warekodi kujua ulikufa siku ngapi baada ya kukufuru. Ila tu elewa tunaye Mungu aliye hai na anakuona ukiandika.
Usisahau kunipa mstari kwenye bible unaosema Dunia ni flat kwa sababu najua haupo
Kwahyo kufa ni adhabu kumbe dah R. I. P mama yanguNi ignorance yako tu ndo inakuambia Bible ni Primitive; lakini mimi nasema Bible is a living book na ndo maana ukiisoma na kufanya application yake leo utaifanya miujiza aliyofanya Eliya, Elisha na Yesu.
Kama unataka kujiunga na waliomkufuru Mungu fanya Publically halafu uandike kwenye diary siku uliyokufuru ili watu warekodi kujua ulikufa siku ngapi baada ya kukufuru. Ila tu elewa tunaye Mungu aliye hai na anakuona ukiandika.
Usisahau kunipa mstari kwenye bible unaosema Dunia ni flat kwa sababu najua haupo
Duh ngoja mimi ninyamaze ili niishi milelewasiwasi wangu wewe utakavyokufa kutokana na kauli zako hatutaweza kujua. ila niko sure kwamba na wewe utaongezeka kwenye hii list
Wapo watu wanakufuru mpaka leo, wanasema 'Yesu mungu, na mama yake ni mama mungu'1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Acha udini wewe ,mungu wa warabu maana yake nini ? Mungu ni mmoja ni mungu wa woteTena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
mkuu naomba uniambia kitabu gani kinasema umbo la dunia ni flat na sura, mstari piaMmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Sasa mkuu wewe unaona hivyo vifo vya waliomkufuru Mungu ni vya kawaida?Niliuliza, sijapata jibu mpaka leo.
Kwani wasiomkufuru Mungu hawafi?
Nilidhani utaenda deep kuhusu Mungu . Mungu hakuumba dhambi dhambi ni uamuzi wako kuwa kinyume na Mungu. Wewe si Robot ndivyo alivyokuumba Mungu ili ikiwezekana Umtukane kama hivi au UmpendeMmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Toa nukuu kwa bibliaMpaka leo unaamini dunia ni litufe ulilofundishwa class!!!??
[emoji16][emoji16][emoji16]Ni Maandiko ya Mungu haya hato dosari moja ya kuona kwa hadubini. The Bible says the Earth is flat and have a firm firmament!!! Yeah it is!!