Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Na nyerere je alisemaje si angeweza kuuona uchaguzi wa mwaka unaofuata na hatma yke alifanya nn?
 
Ttzo jaamn hpa hatutaelewana katu CX tymekutana pande mbili zenye iman tofaut yaan siku zote ukipangwa kuwa opposer's hta kama kinachozungumzwa unaelewa kuwa yuko right mzungumzaji BT kwa vile tu ni umewekwa upande wa mpingaj you should oppose BT tukija kwa proposers huwa wanakuwa wanatetea kit ambacho kinaukweri ndan yaan according na walivyofundishwa so huwa wanaamin kile wanachobishania thus why wakaitwa proposers ,,kwa hyo hpa huu Uzi ulivyoletwa automatic kuna member wamejigawa wakaanza kupinga tuuuu syo kuwa wamebe selected no ni kuwa nafsi zao tu due to imani zao au kuish kwao kule wakiamni hamna sijui mung ndo wakajikuta tu wanapinga ingawa hta wao ukiwauliza why wanapinga watakwambia hawajui BT wameamua tu kupinga kwa hizo sababu wanazoeleza BT mungu still hatawaacha waangamie anawapitishe hyo njia ili wajifunze ili siku zijazo waje wawe mashuhuda wa hyo wanayoyatenda kwa vitendo sasa watashuhudia kwa hyo Si shauli kibishana nao BT iko siku ambayo haitambulik watakuja hpa watasema kumbe tukikuwa wrong BT hta sisi labda hpa hatutakwepo tena kwa hyo watawashuhudia wengne na bado watabaki na kitu kinaitwa disassification mioyon mwao kwa kuamin sisi wengne tumeondoka tukiamin wao ni waliopotea kwa hyo hilo litawatesa hdi mwsho wa uhai wao kwa maana watakuwa kila wakikumbuka hiki walichofanya nw huko mbelen kitawakosesha aman hta iwe kwa muda mlef kiasi gani ,,cha kushukul hpa ni kuwa sisi tushukul mung kwa kutuepushia jalib hili wanalopitia hawa wenzetu wasioamin et mungu kwa nini sijui aliruhus kiumbe wake ateswe na kiumbe aliyemuumba mwenywe kwa hyo hawa wenzet kubashana itakuwa kaz Sana'a kwa maana inaonekana hta biblia hawajasoma kwa hyo ili uwaeleweshe unaposwa kurud kwanza kuanzia kuwafundisha biblia au Quran ndo uje hpa uwaelekeze kuwa kwa nini ulikuwa as ilivyokuwa kwa hyo wanahitaji darasa kubwa Sana'a yaan kit ambacho kwa kuwaelekeza kupitia social media ni ngumu Sana'a maybe ungekuwa personal . mm siyo muandikaj sanaaa kwenye jukwaaa lolote lile huwa nasom sanaaa makala ya kila mtu bt huwa sipend kuchangia CX huwa nnapochangia huchangia kwa facts na huwa sipend pia kubishana na member ilihari nikijiua kabisaaa kuwa hiki anachobisha kiuhalisia anajua kuwa hakipaswi kuwa kama anavyokitaka kiwe BT anabisha tu ili aonekane anajua kubishana so huwa siwapend members wa kind hyo so hpa nimelezimika kuchangia kwa vile hawa members wachache kwa kutokujua kwao wanataka kuharib na wanaojua kutokana na point zao ambazi zinachagizwa na illuminate believes so nawashauli haina haja ya kubishana nao wao walichopunhukiwa ni kuwa AKILI ZAO HAZINA AKILI BASI ,,,mtavyokuwa mnajib au kujitetea ni vema mkanitag ili nije niwajib kwa hoja maana naona mnazid baadh ya member kuwapotosha hta hawa wachache wenye hofu ya muumba
 

Usipochukua muda na kutafakari ulicho kiandika bas utapotea katika ujinga wako huo..unafikiri uwazavyo wewe ndo kutupa sisi suruhisho la jinsi Mungu alivyo? Imani, Wokovu ni kitu cha uzoefu baina ya mtu na kitu hicho na sio hisia kama uwazavyo wewe.. sijui nitumie neno gani uelewe lakini ‘salvation is something experienced’ ni ngumu kumuelezea mtu jinsi iman ya wokovu kwa Mungu ilivyo ni mpaka huyo mtu nae awe experienced ndo anaweza kuelewa uwepo wa Mungu na kusudi lake kwa wanadam
 
Kuna huyu mwingine anamkufuru Mungu kwa matendo na machukizo mengi juu ya wananchi wa hali ngumu na kisha anakuja kusema kwamba anahitaji maombi yenu waTz.... tehteehhh
Ebu ngoja niishie hapa kwanza
 
Mwenyezi Mungu hachezewi hata kidogo.
Utukufu ni wake milele.
 
Natamani nikueleze hayo zaidi.
Hakuna kilichokosewa kwenye biblia.
Mungu hakuiumba zambi ibilisi aliileta.
Na mungu aliiruhusu zambi walio washetani watambulike na wamungu watambulike.
Kwa sababu hawa na nyoka walichanganya mbegu. Abili na kaini mmoja alikuwa mwanawa Adam na mwingine wa ibilisi. Zao hizi mbili hazijaacha kupingana hivyo mungu alivyokwisha kufahamu yote kuanzia mwanzo akaruhusu yote.
kisha akasema yeye ashindae atamvika taji.
2) mungu aliiumba dunia nzuri ila wanadamu ndio walioiharibu. Na haitakuja ikae sawa mpaka utawala wa mungu utapoanza rasmi kama pale eden
3) mungu hakuruhusu utumwa ila wanadamu walipotaka kujitofautisha.
4) hakuna sehem imesema dunia ni flat
5) shetani alimwambia Yesu amsujudu kisha atampa ulimwengu mzima kwa kuwa ulimwengu huu wa sasa wote ni wa shetani naye kwa kujua hayo hakukubali kwa kuwa alifaham ufalme wake bado haujafika
6) kwaio anachokifanya mungu sasa ni kukomboa vyote ambavyo adam alivipoteza, nae ameshakomboa mwanadamu bado ulimwengu. Utakombolewa kwa moto.

BIBLIA IMEANDIKWA NA WAANDISHI TOFAUTI NA NYAKATI TOFAUTI NA HAMNA MAHALI WAMEPINGANA KWA SABABU WOTE WALIANDIKA CHINI YA ROHO MMOJA.
 
Mambo ya mungu yanaoita fahamy za kibinadamu.
Hayaitaji kuelewa sana yanaitahi kuamini.
Wanasayansi wanajaribu kuelewa na hawatakaa waweze. Yeye aliposema bikira atazaa wanasayansi walipinga,.
Aliposema atafufuka wanasayansi walipinga.
Lakini yote yalikuwa kwa ambao wataamini tuu sio watakao elewa.
UNAITAJIKA UFUNUO TU NDIPO UTAJUA BIBLIA IPO SAHIHI KULIKO VITABU VYOTE.
Ufunuo ni njia ya kuficha kitu japo kinasomeka. Hauelezeki. Kitu kina kuwa kinafunguka tu akilini mwako. Muda mwingine huwezi hata kuelezea ila unajua ni kweli ndani hako
 
Mmmh!!! kumbe shetani alimgegeda Eva??? ndo fumbo la imani au?
 
Mwalimu alitupa stori walikuwa dar wamekaa kitaa hivi manyunyu yakaanza kunyesha kuna jamaa akasema hivi Mungu umeishiwa mvua nini si useme tukupe miambili uachie mvua ya maana sio hii manyunyu, pale pile ikapiga radi ya hatari na jamaa aligawanyika na kufa papo hapo. watu njia ya msikiti njia ya kanisa kuomba
 
Sina uhakika sana na yaliyomkuta gwiji wa Fizikia aliefariki mwaka huu Steve Hawkins..
 
Kwa hiyo Mungu ni murderer? Kwa anataka wengine wasamehe 7*70 halafu yeye ukimdiss anakochomoa on the spot.

Halafu maombi yakishindwa kutik unaambiwa Mungu anajibu kwa wakati wake kumbe ukimdiss anajibu hapo hapo.
 

Shauri yao walimchokoza Mungu ,aaah hatari sana sauti ya Mungu inatisha na msimjaribu hata kidogo
 
Mungu yupo jamani na kiukweli,ushawahi jiuliza mbona hatukumbuki tulifikaje duniani na mbona hatujui tulivyokua tumboni tuliishije? Mungu yupo katika imani.
Kama yupo katika imani, tusiyo na imani tusiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…