Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kufa kunatokana na kumkufuru Mungu, mbona wasiomkufuru Mungu nao wanakufa, tena vifo vya ajabu tu?Sasa mkuu wewe unaona hivyo vifo vya waliomkufuru Mungu ni vya kawaida?
HahahahaaaaaaaaaaaaaaaaTena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Mambo ya mungu yanaoita fahamy za kibinadamu.Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Mmmh!!! kumbe shetani alimgegeda Eva??? ndo fumbo la imani au?Natamani nikueleze hayo zaidi.
Hakuna kilichokosewa kwenye biblia.
Mungu hakuiumba zambi ibilisi aliileta.
Na mungu aliiruhusu zambi walio washetani watambulike na wamungu watambulike.
Kwa sababu hawa na nyoka walichanganya mbegu. Abili na kaini mmoja alikuwa mwanawa Adam na mwingine wa ibilisi. Zao hizi mbili hazijaacha kupingana hivyo mungu alivyokwisha kufahamu yote kuanzia mwanzo akaruhusu yote.
kisha akasema yeye ashindae atamvika taji.
2) mungu aliiumba dunia nzuri ila wanadamu ndio walioiharibu. Na haitakuja ikae sawa mpaka utawala wa mungu utapoanza rasmi kama pale eden
3) mungu hakuruhusu utumwa ila wanadamu walipotaka kujitofautisha.
4) hakuna sehem imesema dunia ni flat
5) shetani alimwambia Yesu amsujudu kisha atampa ulimwengu mzima kwa kuwa ulimwengu huu wa sasa wote ni wa shetani naye kwa kujua hayo hakukubali kwa kuwa alifaham ufalme wake bado haujafika
6) kwaio anachokifanya mungu sasa ni kukomboa vyote ambavyo adam alivipoteza, nae ameshakomboa mwanadamu bado ulimwengu. Utakombolewa kwa moto.
BIBLIA IMEANDIKWA NA WAANDISHI TOFAUTI NA NYAKATI TOFAUTI NA HAMNA MAHALI WAMEPINGANA KWA SABABU WOTE WALIANDIKA CHINI YA ROHO MMOJA.
Sina uhakika sana na yaliyomkuta gwiji wa Fizikia aliefariki mwaka huu Steve Hawkins..1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC
2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.
3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.
4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake
5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Acheni Mungu aitwe Mungu,[emoji122] [emoji122]
1. Mtengenazaji meli ya titanic.

Kama yupo katika imani, tusiyo na imani tusiamini.Mungu yupo jamani na kiukweli,ushawahi jiuliza mbona hatukumbuki tulifikaje duniani na mbona hatujui tulivyokua tumboni tuliishije? Mungu yupo katika imani.