Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Qur-an hai edit -wi kama bible. Kwenye Qur-an hakuna agano la kale wala jipya.
NAKUTUMA NENDA KAWAAMBIE VIONGOZI WAKO HII SEHEMU INATAKIWA KU EDITIWA:........................
Kwa kuanzia naomba uniambiwa kwa nn muhamad na allah waliwaruhusu kuoa wake wengi na sio kuolewa na wanaume wengi?. Mwanzoni kulikuwa na sababu kuwa eti wanawake ni wengi kuliko wanaume kitu ambacho kime prove failure coz kwa sasa kwa takwimu za dunia inaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake (Hapa usitake kubishana---Google mwenyewe). Kama kweli hii ilikuwa ndo sababu, hamuoni kuwa it is a high time for you muslims to review and edit your quran? Vinaja wa kisasa wanasemaga ni kama mmeingizwa mjini/chaka