Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Wengi uliowataja hapo walikufa kwa sababu tafauti tafauti,tusijaribu kulazimisha kuwa wote walikufa sababu ya kauli zao.Mungu huwa hajaribiwi na hilo halina ubishi
 
Duh mada zengine bwana
Halafu nasikia Mungu wa wagalatia alikuwa mweupe.
 
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Mkuu hapo namba 3 hiyo kuungua moto kama moto huo ulichoma hadi vitu basi chanzo kinaweza kujulikana lakini kama haukuunguza chochote ila yy 2 hii ki2 inajulikana kama (s.h.c) spontaneous human combustion isome google mkuu kwa maelezo zaidi
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
allah=Allah

Kweli kabisa maana kati yao kuna mmoja alizaliwa, alikufa na baadaye kufufuka na mwingine hakuzaa, kuzaliwa wala hakufa na ni Mungu wa dunia na vilivyomo hivyo nakubaliana nawewe.
 
allah
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
stupid.poor.idiot.mende et mungu wa yakobo.isaka.ibrahim mtakuwa na akil lini nyie
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
My dear friend sio vitisho Mungu yupo hai. Anafanya maajabu na miujiza siku zote!!
Amekupa akili hekima na maarifa kuchagua haki ili uishi!!
Ukimpata Bwn Yesu umepata uzima wa milele!!
 
3.Christina hewt (mwandishi) Huyu alikaririwa akisema "
Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto
ambao haijajulikana hadi Leo ume sababishwa na nini.
 
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Acha ujinga wewe

Mungu huwa haadhibu MTU

Hivi wajua maana ya kukufuru wewe?

Kukufuru ni pale tu MTU anapotenda maovu, km na wewe ni mtenda maovu tayari unakufuru,
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Asante mkuu

Karibu kitimoto tuianze pasaka vyema
 
kwahiyo wasingekufuru inamaana wasingekufa?dah inasikitisha sana labda tu nikwambie kitu,Mungu hayupo kama hivyo unavyofikiri.!
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Huyu nae bado mzima
 
Tumia akili ya kawaida tu,uwepo wa Mungu is a spiritual thing,huwezi kukutana nao kariakoi kama makalio yako yanavyowaza,we mtume ulikutana nae jamatini?
Jamatini.... Haha utakuwa huko dodoma tu.
 
Mungu ni mmjoja,wote tunamwabudu.huyohuyo,sema tu tumegawanyika kiitikadi,Mungu yupo na uweza wake ni mkuu
Ila Mungu wa kwenye quran kaahidi atawachoma watu kama nyinyi... Alishasema uislamu ndio dini ya haki.... Sasa hapa jifanyeni kuungana lakini Allah anakutambua wewe kama kafir...
 
Kweli Mungu yupo na ni mmoja tu hana mshirika, hivyo ni vema kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake. Mwisho Wa siku hatujui nani yupo sahihi muislamu au Christian.
Kumbw hamjui nani yupo sahihi very strange then wote mnadai dini zenu ni za kweli.
 
Back
Top Bottom