Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Yes,the holly Bible is the only living book under this world,wakubali wakatae but the truth will forever stand
Truth doesn't rely on beliefs.... Truth or facts base on empirical evidence and nt otherwise.
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
ni kweli mkuu yawezekana vitabu vikawa na makosa ila kitendo cha kumdhihaki Mungu kwa kukusudia kumdhihaki yeye hata kama vitabu vyake 'haviko sahihi' ila kwa kuwa uliyekusudia kumdhihaki ni yeye,Atakujibu tuu kulingana na nia yako
 
Nasikia na zanzibar kuna kiongozi wa CCM katika mkutano (wa kiofisi) aliwaambia anaemuogopa mungu atoke chumbani.... na yeye akafa siku chache mbeleni..... Sijui kama haya maneno ya kweli au yamezushwa tu
 
wasiwasi wangu wewe utakavyokufa kutokana na kauli zako hatutaweza kujua. ila niko sure kwamba na wewe utaongezeka kwenye hii list
Kifo sio punishment wala ushuhuda vinatokea every day... Sio kigezo hicho manake hapa mnajaribu kumfanya Mungu ni wa visasi... How come Mungu akiwa provoked anaua hao watu?? Alafu mnadai huwa ni mwingi wa kusamehe... Mbona kazi yake ingekuwa rahisi tu... Angalau angewathibitishia vinginevyo na sio mpaka usome bible...

Mnajua shida iko wapi.. Ni pale tunaposema ukweli pekee upo kwenye vitabu vya dini alafu tunatumia neno imani kuelezea... Je mnajua kwamba kwenye facts neno imani halina nafasi....
Hauwezi kusema naamini mim mwanaume, hauwezi kusema naamini leo ni jumapili...
 
HUKU NA WATU WENYE MIZAA SANA

Rafiki ushawahi jiuliza wewe maisha yako yapo mikoni mwa nani
Mungu anakujua na anakupenda sana
Yeye hajui kama Mungu anamjua... Sasa kama hajui ni tatizo lake???
 
Yaani watu wanatoa justification ya kifo na uovu... Hahahaha blind faith. Mbona hatuhoji nini zambi ya mtoto wa miaka 0 to 10. .. Mbona wamekufa wengi sana wa umri huo tena vifo vibaya sana.. Ikiwepo majanga ya moto, abortion, ajali za barabarani, kansa, malaria, ukimwi, milipuko etx.. Na wengine vifo havijulikani vilisababishwa na nin... Je hao wametoa kauli gani? Mkiambiwa nyinyi akili zenu ni za kizezeta mnadai mnatukanwa.....
 
Watu wazima hatudanganywi kienyeji.. alafu anapamba na picha yakuogofya..ili apate washabiki..
Eti bwana Leo walitegemea na wewe utapotezwa....hawajui kwamba kauli za mtu hazibadili kifo chake. Tunakufa mara moja... Hakuna mtu anaeweza kuthibitisha kwamba x alitakiwa kufa kifo cha kwenye maji siku fulani ila kutokana na kukufuru kwake amekufa kifo cha moto kabla ya wakati wake.
 
Mungu na Allah tofauti kabisa. Enyi waislamu someni Qoran imeandika dhahiri. Kama wajijua ni muislam jina, usitoe uthibitisho kwa kuwa unafanya dhambi ya uongo. SOMENI MAANDIKO MPATE MAARIFA
Maandiko hayatoi maarifa mkuu... Yanatisha watu tu.
 
Huwa tunaamini tu mambo meengi ambayo yameletwa na wazungu na waarabu.....

Sisemi MUNGU hayupo ila kabla ya kuja waarabu na wazungu... africa tulikua na dini gani......???

Then asilimia kubwa tunaamua kufuata wazazi hata km walikosea kufanya maamuzi sahihi ya mtindo wa maisha.

Now ushakua mkubwa kwa nin usikae chini ukajiuliza maswal kadhaa ya msingi. . Ukagundua kitu flani.

Haujiuliz km dini ni kitu sahihi kwa nin ziko nyingi zinazokanganyana..... hujui uamini nini uache nini.... dat means..... hatuna uhakika na tukifanyacho ila tu imani yetu na origin zetu...

Binafsi siamini katika dini yoyoote.... kuusishwa na uwepo wa MUNGU...

ILA Naamini MUNGU yupo na dini mi mfumo wa maisha kupunguza maovu na kudumisha amani duniani.......

Cjajua uwezo wangu wa kufikiri bado.
 
N
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
adhan utakua ushafarik chief
 
Huu wote ni Uongo ambao shetan anausambaza. Mungu wa Kikristo Mungu Jehova ni wa Upendo. Ukiangalia matukio au historia za watu hao ni wachache ambao wamethibitishwa kunena maneno hayo na walikuja kufa wengine mwaka au miezi kadhaa baada ya maneno hayo. Aliyekuwa rais wa brazil alikufa siku 39 baada ya kuteuliwa na tayari alikuwa ni mgonjwa mwenye uvimbe tumboni. Aliyesema meli ya titanic kuwa hata Mungu asingeweza izamisha alikuwa ni mtu baki tu mwajiriwa katika meli ya titanic wala si muundaji wa meli hiyo. Na bado Mungu asingewaua watu wasio na hatia kwa maneno ya mpumbavu mmoja.

Acha kupotosha watu na utubu kwa dhambi hii. Mungu wa kikristo ni Mungu mwingi wa rehema na neema. Aliweza wasamehe watu wengi waliomkosea na kuwaokoa akiwepo saul/paul.

1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Hebu achana na hao wanasayans wasio na imani.. Tena nakukemea... Ushindwe kwa jina la Yesu!!!!!!
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Nadhani hata wewe ushakufa tena mapemaa
 
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
Hawajafa mkuu,kawaida kwa mahojiano zaidi,aty kiburi yote hii natoka kwa nan Njere!
 
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
Mungu ni yule yule mpumbavu wewe tofauti majina tu Kuna wanamuita

Allah,Deus,Mulungu,God,Elohi na mengine meeengi

kuna vitu haviitaji uwe msomi saana
 
Back
Top Bottom