Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

Wewe amini hakuna Mungu kwa sababu zako binafsi. Pia, waache wanao amini kuna Mungu kwa sababu zao binafsi! Mjinga anasema hakuna Mungu ingawa creation Inaonesha wazi kwamba kuna Muumba aliye sababisha. Pia mjinga anasema kuna Muumba sababu ya uwepo wa ushahidi wakutosha. Kwahiyo, wewe ni mjinga pasipo amini uwepo wa Mungu na wengine wajinga kwa kuamini uwepo wa Mungu. Wacha Mungu ataamue siku ikifika, labda by then utakuwa umeshaoza kubakia mifupa kaburi.
Muelimishane basi badala ya kukashfiana.
Anayesema hakuna Mungu aweke ushahidi sisi tujifunze kwake.
Na anayesema Mungu yupo aweke vielelezo vya kuthibitisha hoja yake.
Mini najua Mungu yupo tokea zamani za mwanzo wa ufahamu wangu.
Kama kuna mtu anasema Mungu hayupo alete ushahidi atujibu
nani aliyeumba ulimwengu na vilivyomo ?
maana wanasayansi wameshindwa kujibu hii hoja

Leteni elimu bila kukashfiana ili tujifunze maarifa hayo mapya.

Wekeni hoja mezani.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Wewe amini hakuna Mungu kwa sababu zako binafsi. Pia, waache wanao amini kuna Mungu kwa sababu zao binafsi! Mjinga anasema hakuna Mungu ingawa creation Inaonesha wazi kwamba kuna Muumba aliye sababisha. Pia mjinga anasema kuna Muumba sababu ya uwepo wa ushahidi wakutosha. Kwahiyo, wewe ni mjinga pasipo amini uwepo wa Mungu na wengine wajinga kwa kuamini uwepo wa Mungu. Wacha Mungu ataamue siku ikifika, labda by then utakuwa umeshaoza kubakia mifupa kaburi.
Nimeita mjinga kwasababu hawezi thibitisha uwepo wake.

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimemkufuru Mungu tangu Jamiiforums inaitwa Jamboforums.

Na sijafa mpaka leo.

Na kama kufa wote tutakufa.

Hakuna Mungu. Hakuna Shetani.

Mungu na Shetani ni wewe mwenyewe.

Mimi nimesomesha daktari Tanzania. Anatibu watu. Nimesaidia kuumba udaktari wa huyu mtu anayetibu watu. Ndio uungu wangu huo.

Ninapofanya mabaya, huo ndio ushetani wangu.

Acheni kutishiana ujinga hapa.
Vipi Kuhusu Yesu, ambae alikuwa mtiifu na asiyetenda dhambi lkn alikufa kwa umri mdogo (32yrs)?

Vipi watoto ambao hufariki kwa umri mdogo ambao hawajui nini hata maana ya dhambi?

Ww ambae unawanyooshea kidole wale waliomkufuru Mungu na kupata pigo la kifo baada ya kauli zao, unajihakikishiaje kuwa utadumu kwa hata mwaka mmoja?

Kufa anakufa mtu yoyote na kwa muda wowote haijalishi ana amini nini.

Wasaidie kuondoa ujinga huu wa muda mrefu huku Mkuu.

Hawa watu wanalazimisha uongo uwe ukweli.

Ukilazimisha uongo kuwa ukweli mara zote mantiki ya mambo itakusuta tu.

Kama kufa kungekuwa ni adhabu ya kumkufuru Mungu watawa wa kanisa Katoliki wangekutwa wamekufa wengi sana kwa kumdhihaki Mungu kwa kujifanya watawa huku wanavizia vizia mambo nyeti yaliyo na uchafu usio wa kitawa.

Ni ujinga ujinga tu unakuwa promoted.
 
Kwenye Nchi yetu ukifahamika kuwa huamini uwepo wa Mungu unaoneka mtu wa ajabu sana, unaweza hata kutengwa au kudharaulika kwenye jamii.

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
 
Kwenye Nchi yetu ukifahamika kuwa huamini uwepo wa Mungu unaoneka mtu wa ajabu sana, unaweza hata kutengwa au kudharaulika kwenye jamii.

Sent from my MI 5s Plus using JamiiForums mobile app
Na ndiyo maana mimi sina mpango wa kurudi hivi karibuni.

Kuna hilo, halafu kuna Magufuli.

Yani hata nikifa Magufuli akiwa rais, sitataka kuzikwa Bongo jinsi nisivyomfagilia.

Anaweza kunidai kodi nikiwa maiti nikashindwa kumlipa.
 
duh....!! hisia zako nimezitambua

Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
 
Na ndiyo maana mimi sina mpango wa kurudi hivi karibuni.

Kuna hilo, halafu kuna Magufuli.

Yani hata nikifa Magufuli akiwa rais, sitataka kuzikwa Bongo jinsi nisivyomfagilia.

Anaweza kunidai kodi nikiwa maiti nikashindwa kumlipa.
Kama huko nje kaa hukohuko maana hii serikali imeamua kupora viwanja vya ndugu zetu ambao wamevitolea jasho ugaibuni kisa uraia! Na inaonekana serikali ya Magu ilisha kubali ndugu zetu wanyang'anywe ardhi zao. Mimi ninao ndugu zangu ugaibuni wana majumba na viwanja, sasa wamejaa wasiwasi wa kupoteza hizo mali sababu ya uwamu ya 5. Wala husi invest huku maana roho mbaya kibao.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Kama huko nje kaa hukohuko maana hii serikali imeamua kupora viwanja vya ndugu zetu ambao wamevitolea jasho ugaibuni kisa uraia! Na inaonekana serikali ya Magu ilisha kubali ndugu zetu wanyang'anye ardhi zao. Mimi ninao ndugu zangu ugaibuni wana majumba na viwanja, sasa wamejaa wasiwasi wa kupoteza hizo mali sababu ya uwamu ya 5. Wala husi invest huku maana roho mbaya kibao.

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Mimi uzuri wangu ni kwamba mambo yatakayokuja kutokea 2025 nishaanza kuyaona tangu leo, na mambo yanayotokea leo nishayaona tangu mwaka 2000.

Na 1983 Ali Hassan Mwinyi alivyoteuliwa kuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar niliwaambia "Huyu ndiye rais wenu ajaye" watu wakadharau.

Ikaja kuwa kweli.
 
Wewe utakuwa mtabiri [emoji23]
Hatahivyo, ukweli ni kwamba bongo imekuwa haiko friendly na wa TZ wenye uraia wa nje. Na hiyo inasababisha wana diaspora wakate mawasiliano na ndugu zao bongo!
Wana diasfora wamefanya mchango mkubwa katika elimu, uchumi n.k. lakini unfortunately serikali ya Mugu iko nyuma sana kulielewa hilo
 
1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)

Wakati alipokuwa akihojiwa na Mwandishi wa habari wa gazeti la [HASHTAG]#American[/HASHTAG] alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya [HASHTAG]#Yesu[/HASHTAG] yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966.
Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)

Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata [HASHTAG]#MUNGU[/HASHTAG] asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)

Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la [HASHTAG]#Rio[/HASHTAG] #De [HASHTAG]#Janeiro[/HASHTAG], alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG], hiyo yako, chukua nawe uvute"
Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.

Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, Mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] hawezi kuizamisha"
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)

Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya
"Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'.
Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa Mtoto wake. Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa Mama, huyo [HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] labda akae kwenye boneti la gari".
Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)

Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama [HASHTAG]#Biblia[/HASHTAG]"
Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)

Huyu alifuatwa na [HASHTAG]#Bill[/HASHTAG] [HASHTAG]#Graham[/HASHTAG] na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simhitaji [HASHTAG]#Yesu[/HASHTAG] wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.
 
Coincidence tu hakuna lolote. Na story zenyewe za kutunga. Huyo mungu mlishawahi kumuona? Ni yupi kati ya miungu 4200?
 
Back
Top Bottom