Watu waliomkufuru Mungu wakafariki dunia

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
1. Mtengenazaji meli ya titanic.
Baada ya kutengeneza meli ya TITANIC, mwandishi wa habari alimuuliza ni kiasi gani ilikuwa salama, nae akajibu " Ni salama sana na haiwezi kuzama na hata mungu hawezi kuizamisha".
Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu TITANIC

2.AZUZA (mwanamuziki brazil)
Alipokuwa kwenye show yake ndani ya jiji la Rio dejeneiro , alichukua sigara akaanza kuvuta, akachukua nyingine kisha akairusha juu na kusema " Mungu na hiyo yako , chukua na wewe uvute. Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu, ambayo iliharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote.

3.Christina hewt (mwandishi)
Huyu alikaririwa akisema " Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya kama biblia, siku chache baada ya kusema maneno hay, mwili wake ulikutwa umeunguzwa moto ambao haijajulikana hadi Leo umesababishwa na nini.

4. John Lennon (muimbaji)
Wakati alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari la gazeti la america alinukuliwa akisema " ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwas na hilo kwa kuwa Nina uhakika nalo. Huyu naye baada ya mda alikutwa amekufa nyumbani kwake

5. Tancredo neves (rais wa brazil)
Alisema kwamba endapo angeshinda kura laki tano katika uchaguzi mkuu Brazil na kuwa rais , hata mungu asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa akapata kura zaidi ya laki tano akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa akafariki dunia.
 
Mungu yupo na ni mkuu mno,nimekua mfatiliaji mzuri sana wa historia ya wana wa israel katka biblia,na hiyo ilinifanya nizidi kuamini uweza na uwepo wa Mungu katika maisha ya mwanadamu,farao alipigwa mapigo.makuu na mwisho akaamini kuwa Mungu wa israel ndie Mungu,
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
 
Hili somo ni kubwa sana linapita uwezo wako unaotumia sasa.
Kwa mleta mada nadhani you are wrong....Mungu ana upendo kweli hawezi kuwafanya watu wake hivyo......think
 
Kama kweli hayupo nakuomba Leonard Robert baada ya wiki moja njoo hapa JF uje utoe ushuhuda kuwa hayupo. Pse ukitoa ushuhuda wako kuwa kweli hayupo ni mention ili nisiukose. Hebu tuanzie hapo naye MUNGU aliye mkuu ajidhihirishe kwako katika kipindi hicho.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Hawezi na wala wewe huwezi kumthibitishia mtu kama yupo.
Muache achukue safari yake na wewe fanya hivyo Mungu atajionyesha kwake kwa yule anayehitaji
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja.
pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha
Ephesian3:20, JEREMIAH32:27 Hata nafsi na Roho zinakubali kuwa kila ngoti litapigwa . Mungu yupo tena ni bora uamini kuliko kuktaa then umkute
 
Mmeanza vitisho vyenu kama wakati wa kuzika.. logic hamna kabisa.. mmeulizwa kila siku..kama huyu Mungu yupo..na ana akili sana..mbona hakutengeneza dunia nzuri sana isiyo na dhambi..wala makosa..nini kusudi lake..je alituumba akitegemea tutatenda dhambi ili atucheke na kutuchoma kama mnavyo dai.. hamuoni kwamba ni maigizo alifanya..yaani anatengeneza dhambi alafu anatukataza kufanya dhambi.. mtu/kiumbe yule yule mmoja..

pili mbona vitabu vyake vitakatifu..vina makosa sana tena primitive/vya kikale..na mambo yasiyo ya kibinadamu kama utumwa vimetamalaki.. tena mbaya zaidi vitabu havijui hata mambo ya wazi kabisa kama umbo la dunia..na kusema eti dunia ni ya flat.. huu ni ukale..
muandishi wake si mtu makini kama inavyo semwa bali ni mtu primitive..asiyekua na maarifa yakutosha

Mungu bwana, Anampambanisha Shetani na mwanadamu a.k.a Kiumbe dhaifu ilihali anaujua uwezo wa shetani kiutendaji ni sawa na yeye tu.......
 
Hili somo ni kubwa sana linapita uwezo wako unaotumia sasa.
Kwa mleta mada nadhani you are wrong....Mungu ana upendo kweli hawezi kuwafanya watu wake hivyo......think

Ngoja nifute kauli kabla Sir God hajamwelekeza ziraili pande hizi.

Nimekosa mimi, nimekosa mimi Nimekosa sana. Ee Mungu nihurumie na unisamehe.

Amina.
 
Kama kweli hayupo nakuomba Leonard Robert baada ya wiki moja njoo hapa JF uje utoe ushuhuda kuwa hayupo. Pse ukitoa ushuhuda wako kuwa kweli hayupo ni mention ili nisiukose. Hebu tuanzie hapo naye MUNGU aliye mkuu ajidhihirishe kwako katika kipindi hicho.

Sent from my iPad using JamiiForums

Sijawai kuona kitu cha ajabu kama hiki.. kusema kitu hakipo alafu unaambiwa leta uthibitisho
ukweli ni kwamba wewe mwenye uthibitisho wa uwepo wake utuletee.. kwa mfano nikisema hakuna sayari ya kumi..wewe ukisema ipo unaleta uthibitisho.. sasa kazi kwenu kuleta uthibitisho wa uwepo wake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom