Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hata sijui narudia hii kwa mara ya ngapi, MUNGU WANGU ANAJITHIBITISHA MWENYEWE sio kazi yangu.
Mungu wako angejithibitisha usingekuwa na maswali unayotaka kumuuliza wewe, wacha longolongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sijui narudia hii kwa mara ya ngapi, MUNGU WANGU ANAJITHIBITISHA MWENYEWE sio kazi yangu.
Tofautisha kum debunk mungu na kutafuta uwepo wa mungu kwa wanadamu.
Kama ningekuwa nataka kumtafuta mungu kwa wanadamu JF is not the place.
Rafiki yangu mmoja anakuwa ordained kuwa a Baptist minister kesho, mwingine ni Buddhist monk, so it's not like natafuta watu wa kunielewesha kuhusu mungu, more like I am.debunking a hoax upheld up in here.
Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Is aka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.
Unaposema "Mungu hayupo kama yupo thibitisha"
Hiyo kauli ni ya kutafuta uwepo ndio maana unasema hayupo
So nilichokisema bado kina apply kwenye madai yako brother
Uko hapa kutafuta kuthibitishiwa kama Mungu yupo ndio maana unasema "kama yupo thibitisha"
Bado sijakosea kabisa!
Mungu wako angejithibitisha usingekuwa na maswali unayotaka kumuuliza wewe, wacha longolongo.
Ukiona jambo limekushinda unahamia kwenye lingineHujathibitisha kwamba mungu yupo.
Na Yesu kadanganya watu kwamba atarudi kabla hawajayaonja mauti, miaka takribani elfu mbili iliyopita.
Wameuza mashamba na nyumba zao wakimngojea Yeau arudi wakaona mmoja mmoja wanakufa na Yesu harudi bado.
Leo takriban miaka elfu mbili hajarudi bado.
Wajinga ndio waliwao.
Mkuu nimekua nikifuatilia majadiliano yako na huyo jamaa na nimejifunza vitu
Nasema vitu kwakuwa sio kimoja ni zaidi ya hapo
Nimejikuta nikitafakari na kujiuliza kuhusu uwezo wa kufikiri wa wanaotafuta uwepo wa Mungu kwa wanadamu
Ni sawa na Kiranga aibe halafu nikamuulize Samaritan sababu ya Kiranga kuiba
Hii itakuwa ni zaidi ya kituko
Kama kuna watu wana haja ya kujua kama yupo haina haja ya kukimbizana na binadamu wanaojua na kuamini uwepo wake bali wakamuulize yeye ndipo atawajibu
Kama wanataka kujua sababu ya Shetani kuumbwa wakamuulize aliemuumba,kumuuliza ambae hata wakati anaumbwa hakuwepo ni sawa na kumuuliza kunguru sababu ya Simba kuwa na miguu minne
Na hili linaonesha tu kuwa shida ya hawa watu sio kujua uwepo wa Mungu bali wanataka watu waache kuamini na kujua kuhusu uwepo wa Mungu
Kwasababu kama mtu anasema hayupo au anajua kabisa Mungu akithibitishwa kwa mahesabu au Logic huyo anakuwa sio Mungu unajihangaisha ili nini wakati unajua kabisa haiwezekani?
Tafakari ya haya mambo ni muhimu sana!
Najua wewe ni msomi, hilo sina ubishi nalo na una uelewa wa mambo mengi ila hivyo vyote haviusiani na uelwa wa Mungu usiyemwamini. Tatizo sio tu kwamba hauamini kwamba Mungu hayupo, unashindwa kuelewa vitu rahisi kabisa.
Hajajithibitisha kwako, sawa hauamini kwamba yupo. Kajithibitisha kwangu, nimemwamini kwamba yupo. Mimi nnaishi na bado niko duniani, kuamini kwangu kwamba yupo ni jambo moja, naendeleaje baada ya kuamini kwamba yupo ni jambo lingine na hapo ndio kwenye maswali yangu kati ya mimi na yeye. Huelewi nini sasa.
Maisha yangu nifanye longolongo na Kiranga ambaye tunawasiliana nae kwa keyboad tu tena kwenye JF!
Ukiona jambo limekushinda unahamia kwenye lingine
Mimi na wewe tunajadiliana uhovyo wa watu kutafuta uwepo wa Mungu kwa wanadamu
Hapo umerudia jambo lile lile ambalo ulikuwa unajaribu kulikana hapo nyuma
Hakika hii pist hapa chini inakufaa kabisa
Au bado una debunk?
Kuamini unaweza hata kuamini kwamba funza aliyepo mguuni meako ndiye mungu, hilo hslins tatizo.
Tatizo mnapotaka.kuleta imani kama fact, kama ujuzi, kwamba ni.zaidi.ya hadithi za kufikirika.na.kujiridhisha tu.
Imani si deal.
Hata vichaa wana imani.
Swali, unajua kwamba mungu yupo?
Kwani hapa tunaongelea imani gani?
I just said fvck imani, what do you know?
Unaniuliza "hapa tunaongelea imani gani" ?
Wewe mzima kweli?
Mimi kukubali kuwa Mungu yupo kuna sababu zilizonifanya nikakubali hayo lakini sababu hizo haziwezi kumfanya kila mtu akakubali kuwa Mungu yupoMimi.sikubali kwamba mungu yupo, wewe unakubali, unataka nimbane nani kuthibitisha kwamba mungu yupo? Mungu ambaye simkubali.kwmba yupo? Nitaanzia wapi na.mimi.hata simkubali kwamba yupo?
Hapa hatuzungumzii kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kwani hata thread haiko hivyoUkiona jambo linakushinda unahamia kwenye lingine lipi na bado tunamuongelea.mungu wenu wa maboksi ambaye hata hateteeki?
Sio kazi yangu1.Hujathibitisha kwamba mungu yupo.
Ungeuona ukweli ulioko kweko kwenye kauli yako hii wala usingepoteza muda kuendelea kujadiliana na jambo la namna hiyo2. Ukithibitisha kwamba "mungu" yupo utakuwa umethibitisha kwamba huyo uliyemthibitisha kwamba yupo si mungu .
Unataka nijibu kwani mimi ni Yesu?3. Hujajibu swali la Yesu kuwatapeli Wayahudi kwamba atarudi kabla baadhi yao hawajafa, mpaka leo miaka takriba elfu mbili hajarudi.
I just said fvck imani, what do you know?
Unaniuliza "hapa tunaongelea imani gani" ?
Wewe mzima kweli?
mimi mzima, nikisema sio mzima hata wewe utakua sio mzima kama unaweza kujadili jambo na mimi.
Punguza jazba, nimekuuliza hivyo kwa sababu toka mwanzo najua tunaongelea imani ya uwepo wa Mungu kisha ghafla unakuja na imani za funza, sijui vichaa, nani kasema hakuna imani zingine? Na nani anatatizo na mtumwingine kuamini anachokiamini?
Mimi kukubali kuwa Mungu yupo kuna sababu zilizonifanya nikakubali hayo lakini sababu hizo haziwezi kumfanya kila mtu akakubali kuwa Mungu yupo
Kitu kilekile hakiwezi kueleweka kwa kila mmoja
Kila mtu ana namna yake ya kuelewa
Nimeshakuambia mara nyingi sana kuhusiana na kilichonifanya nikajua kuwa Mungu yupo,hujaelewa na hilo sio kosa
Kosa ni pale unapotaka kile ambacho kimenifanya mimi nikaelewa unataka kikufanye wewe uelewe wakati tayari umeshashindwa kuelewa
Wewe kama unahitaji ujue kuna Mungu kwanza ujue ni Mungu gani unataka umjue
Kama ni Mungu wa kwenye Quran fuata kanuni zake
Kama ni Mungu wa kwenye Biblia fuata kanuni zake
Kama ni wa Kihindu fuata kanuni zake
Mmoja kati ya hao akishajithibitisha ndio umuulize kwanini alimuumba Shetani na ulimwengu ambao mabaya yanawezekana,ukishindwa kumuona sio kuwa hayupo ila inawezena umefanya makosa kwenye kufuata kanuni
Hapa hatuzungumzii kuthibitisha kuwepo kwa Mungu kwani hata thread haiko hivyo
Hilo ndilo ambalo unaliacha
Lazima utaona ni wa mabox kwasababu unamtafuta mahali ambapo hayupo
Namna nzuri ya kumtafuta fuata nilichokuambia hapo juu
Sio kazi yangu
Ungeuona ukweli ulioko kweko kwenye kauli yako hii wala usingepoteza muda kuendelea kujadiliana na jambo la namna hiyo
Unataka nijibu kwani mimi ni Yesu?
Mambo mengine unakuwa unashangaza sana
Jambo alifanye mwingine halafu unakuja kuniuliza mimi
Ni sawa niende nikamuulize bibi yangu kule kijijini sababu ya wewe kutokujua uwepo wa Mungu
Nitakuwa hamnazo kabisa!
Hata hiyo imani ya funza inaweza kuwa imani ya kuwepo kwa mungu kwa mtu anayeamini kwamba funza aliyepo mguuni mwake.ndiye mungu aliyeumba vyote na kuamua kutokomea mguuni mwake.
Inaonekana hujaelewa somo.
Unahitaji twisheni.
Kimsingi unakubali kwamba habari ya kuwepo kwa mungu ni arbitrary, haiwezi kupita through the rigors of verification.
Hata wewe unayekubali uwepo wa mungu huna majibu.
Somo gani tena? kama ni kuhusu Mungu usitegemee wewe utaweza kunielewesha nikaelewa, na hilo niliishalitolea maelezo toka mwanzo.
Sina majibu gani?
Hayo majibu unayoyataka nikupe yananihusu?
Maana isije kuwa unataka nikujibu jambo ambalo hata wakati linafanyika sikuwepo!
Jile79Tena mbaya zaidi alimkufuru Mungu wa Ibrahim, Isaka, Yakobo na Mungu wa Israel afadhari angekuwa mungu wa waarabu-allah.