Dini zipo nyingi mkuu sio ukiristu na uislaam pekee na hata kabla ya kuja kwa izo dini tulikuwa na imani zetu(dini) ambazo zilituongoza katika maadili ambayo wazazi wetu walikuzwa nayo na kutukuza na sisiWewe dini gani mkuu??
Au dini haikuja na ngozi nyeupe??
Dini ni utamaduni wako??
Wewe unavaa nguo fupi ili ufanyeje? Na kama wewe ni (me) hebu waite hao wavaa nguo fupi na vi-tight waje hapa watuambie intention yao ni nini?Jamaa haelewi aisee.
Yeye nadhani kila anaevaa nguo fupi basi intention yake ni kuwatega wanaume ili wamtongoze.
Nimekuuliza kwamba ili jamii ionekane au ione imeendelea kiutamaduni ni kuvaa tight, kuvuta bangi, kuongeza matako na kuwa mashoga? Hayo ndio maendeleo ya kiutamaduni?Kwanini usichukulie hilo kama ni maendeleo badala yake wewe unasema ni mmomonyoko wa maadili??
Huoni kua kuna fursa nyingi kuliko kushikilia huo utamaduni wako usiokunufaisha na chochote!!
Ndio maana nikakuuliza huo utamaduni wako uliokua nao kabla hata ya mkoloni umekusaidia nini??
Nikakupa faida kiduchu za huo unaoita usasa ila wewe hujaleta faida yoyote ya huo utamaduni wako.
Mkuu kwaiyo kukeketa na kufanya transgender ni bora transgender?Kila zama zina mambo yake ya kishenzi. Enzi za mababu kulikua na ukeketaji, pia watoto wa kike kuchukuliwa kama vile sio binadamu. Kuna makabila walikuwa wanawekea booking mimba kwamba kama atakayezaliwa ni wa kike basi namchumbia. Binti alikuwa anaolewa akiwa mdogo sana tena na mtu aliyechaguliwa. Mimi kiukweli kwa yale mambo yaliyokuwepo enzi hizo naona bora wakati huu tuliopo. Mababu walikuwa na ishu za kiboya sana. Kama ni udangaji ulikuwepo tangu enzi za Nuhu.
Unaweza ukawa sahihi maana nimekuja na hoja ya nyama nikaitumbukiza kwenye mafuta yanayochemkaHapa nilichogundua ni kwamba hoja ya mleta mada imekutana na hoja thabiti za Wadau na imekufa kifo cha Mendez. Kilichobaki ni ubishi tu ilimradi tu kubisha.
Kwa hiyo kukeketa unaona ni jambo dogo?Mkuu kwaiyo kukeketa na kufanya transgender ni bora transgender?
Binti kuchaguliwa mchumba na kuolewa ni ushenzi?
Kutolewa mahari na kuolewa na hongo kwa wadangaji kwa kigezo cha feminism ni bora hongo?
Huo uhuru wa kujifanyia mambo(usasa) ndio unapelekea jamii yetu kuwa ya hovyo sana vijana wanaiga kila ovu linalofanyika duniani na mzazi asiwe na chakufanya
Mila zilikuwepo ili kulinda maadili ya jamii husika na pia kulinda jamii isipoze uhalisia(utamaduni) wake
Hatuwezi kupoteza utamaduni wetu kwa kuiga tamaduni za watu wengine
Kabisa mkuuFirst year na second year kunakuwaga na gap kubwa sanah mzazi anaweza kumsahau mtoto wake aliyemzaa
Umeleta ishu ya transgender kama kujitetea. Ila nitasimama na kauli yangu kwamba kila zama zina ushenzi wake. Na pia hakuna tabia mpya chini ya jua. Labda kwa sasa tunaziboresha tu. Tangu enzi za Sodoma watu walifanya upuuzi.Na transgender ni jambo dogo mkuu?
Halafu izo mambo zilivokuwa na nguvu kundi kubwa linatetea na kuona sawa tuKabisa mkuu
Sio transgender tu mkuu habari ya mjini asaiv ni ushoga, kuvimbisha makalio, kutembea na vi-top, usagaji na maovu yote yanayofanyika kwa wazunguUmeleta ishu ya transgender kama kujitetea. Ila nitasimama na kauli yangu kwamba kila zama zina ushenzi wake. Na pia hakuna tabia mpya chini ya jua. Labda kwa sasa tunaziboresha tu. Tangu enzi za Sodoma watu walifanya upuuzi.
Hakika❤️I Second You!
Tufate Mila Na Desturi Njema Zitakazoleta Matokeo Chanya Kwa Jamii.
Hakika[emoji3590]
Ushoga haukuwepo zamani?Sio transgender tu mkuu habari ya mjini asaiv ni ushoga, kuvimbisha makalio, kutembea na vi-top, usagaji na maovu yote yanayofanyika kwa wazungu
Na jopo la wasanii na akina nyie ni kupigia upatu
Hatuwezi kuiacha jamii ikaangamia namna hii kwa kigezo cjui cha zama zinazoitwa za kisasa
acha kukwepa swali.Dini zipo nyingi mkuu sio ukiristu na uislaam pekee na hata kabla ya kuja kwa izo dini tulikuwa na imani zetu(dini) ambazo zilituongoza katika maadili ambayo wazazi wetu walikuzwa nayo na kutukuza na sisi
Kuongelea maadili kuna gharama sana kwakuwa waliolewa na usasa ni wengi na hawashauriki endeleeni kutetea "ufuska"