Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

Watu wameendekeza tamaa kwa kisingizio cha usasa

Umeleta ishu ya transgender kama kujitetea. Ila nitasimama na kauli yangu kwamba kila zama zina ushenzi wake. Na pia hakuna tabia mpya chini ya jua. Labda kwa sasa tunaziboresha tu. Tangu enzi za Sodoma watu walifanya upuuzi.
Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.
 
Nimekuuliza kwamba ili jamii ionekane au ione imeendelea kiutamaduni ni kuvaa tight, kuvuta bangi, kuongeza matako na kuwa mashoga? Hayo ndio maendeleo ya kiutamaduni?
kuvaa tight, kuvuta bangi kuna shida gani ndgu yangu mbona una hoja nyepesi sana.
Unajua faida za kuvuta bangi??

Kuongeza matako,kuongeza ukubwa wa uume, kuongeza kifua, kutengeneza six pack ni yale yale tu ila tu tatizo lako wewe una double standards na inferiority complex inayokufanya uogope jinsia ke.
 
Wewe unavaa nguo fupi ili ufanyeje? Na kama wewe ni (me) hebu waite hao wavaa nguo fupi na vi-tight waje hapa watuambie intention yao ni nini?
Wewe una tamaa sana, toka mwanzo nakwambia tamaa zako zisiwape watu tabu.
Toka umeanza kuwaona hao wavaa nguo fupi ushatongoza wangapi na kuzagamua wangapi??
 
Mkuu kiumbe hai huathiriwa na mazingira huwezi kusema utawafunza wakwako tu na mwingine asifunze wakwake halafu wakwako akasalimika hiyo ni ngumu ingekuwa hivyo mmomonyoko wa maadili usingekuwa kwa kasi namna ilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya 1999 kushuka chini
Wewe mbona umesalimika na ushoga, kuvaa mlegezo, kuvuta bangi (kama usemavyo).
Kwanini wewe hujaathirirwa na hayo mazingira ila wanangu ndo waathiriwe??
Au ndgu yetu huishi 2024??
 
Ushoga haukuwepo zamani?
Originally haukuwepo na kwa waliobainika kuingiliana kinyume wao kwa wao wengi walikuwa wakiuliwa ili kulinda utamaduni wa jamii husika

Izi mambo za haki za binadamu na human rights watch ndio siku izi wanakingiwa kifua na magharibi

Na kuna hoja ya sodoma na gomola swali langu hivi hiyo sodoma ilifanyika Afrika?
 
acha kukwepa swali.

wewe ni dini gani?

Kama unaabudu mizimu sema..
Kama huamini kua Yesu ni mwokozi wa maisha yako sema pia.

Kama huamini kua mtume Mohammad (S.A.W) sio mtume wako wa mwisho pia semaa.

Mbona unakwepa kijana, wewe dini gani au unaabudu mizimu??
Dini yangu inahusiana vp hapo mkuu
 
kuvaa tight, kuvuta bangi kuna shida gani ndgu yangu mbona una hoja nyepesi sana.
Unajua faida za kuvuta bangi??

Kuongeza matako,kuongeza ukubwa wa uume, kuongeza kifua, kutengeneza six pack ni yale yale tu ila tu tatizo lako wewe una double standards na inferiority complex inayokufanya uogope jinsia ke.
Sasa mtu kama wewe ulie katika marginal zone siwezi kurefusha mjadala kwenye hili

Hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
Dini yangu inahusiana vp hapo mkuu
ili tujue kua unaetetea tamaduni zako kweli upo kiafrica zaidi??

Sio unajifanya mtamaduni huku jpili au jmosi upo kanisani, au ijumaa upo msikitini.

Mazindiko na ibada za mizimu unaita uchawi na ni dhambi, huku vibuyu, hirizi na mitishamba unaona uchawi na kufuru. Kufanya ibada kwenye makuburi ya ancestors wenu unaona ni kuwanga.

Toka mwanzo nakwambia ukiamua kufata mila na tamaduni zako usiwe na double standards na undumila kuwili.
 
Sasa mtu kama wewe ulie katika marginal zone siwezi kurefusha mjadala kwenye hili

Hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
Umekaririshwa.

Hata mimi mwanzo nilikua kama wewe ila nilikuja kubadilika humuhumu jf kwa kupitia makala, vitabu, maoni na tafakuri binafsi.

Hapo nikikwambia nipe hata kitabu kimoja kinachoelezea mila na tamaduni zako HUNA!!.

Hao vijana wafate muongozo gani? Ziko wapi hizo mila na tamaduni zenu, zinafundishwa wapi??
 
Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.
Mkuu Afrika hatuna mila moja inayotutambulisha kama bara lakini kwakuwa tuna makabila mengi ndani ya hayo makabila ndio zinapatikana mila na tamaduni mbalimbali

Mfano mila na tamaduni za wamasai ni tofauti na mila za wachaga na wapare hivyohivyo na makabila mengine

Sasa unaposema mchaga au mpare au msambaa hajui mila na desturi zao huo ni uongo
 
Hiyo ni kusema umezaliwa marekani ambako hakuna makabila ila ni umezaliwa bongo utakuwa na kabila fulani, hamna kabila linakosa mila na tamaduni

Nchi inaongozwa kwa mifumo ya kibepari kwaiyo haina kabila wala dini kwaiyo ukiuliza kwa utaratibu wa nchi lazima wakupe majibu hayo kuwa nchi haina muongozo wa kimila wala kidini

Ila mkuu una wazazi ambao wametoka miongoni mwa makabila na dini kwanini usiamue kufuata mila hizo?
 
Hapo utawatenga watoto wasiojua asili za wazazi wao kwa sababu mbalimbali, kwahiyo hao mtawatambua kwa namna ipi??

mkuu usilazimishe jambo lisilo na manufaa, mpaka sasa hujanambia hizo tamaduni zako zimesaidiaje kutatua changamoto nchini.

Nani kakwambia ukizaliwa marekani unakua huna kabila ni nani??
Kwahiyo mtoto wa AY sio mnyakyusa kisa kazaliwa marekani?? Namna gani kijana
 
Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.
Huyu jamaa ni mjinga hakuna analojua. Na mara nyingi mwanaume aliyekamilika hawezi ongelea mambo ya ushoga kila mara kwasababu ni mambo ya hovyo hata kutamka. Mtu kama mleta mada ni wale wanaojihusisha na ushoga ila hadharani wanapinga ili kujitengenezea kinga pale mambo yao yanapovuja.
 
Originally haukuwepo na kwa waliobainika kuingiliana kinyume wao kwa wao wengi walikuwa wakiuliwa ili kulinda utamaduni wa jamii husika

Izi mambo za haki za binadamu na human rights watch ndio siku izi wanakingiwa kifua na magharibi

Na kuna hoja ya sodoma na gomola swali langu hivi hiyo sodoma ilifanyika Afrika?
Mkuu ukweli ni kwamba nyie watu mnaojifanya kuongelea ushoga ndo nyuma ya pazia mnafanya ushoga na mambo mengine machafu. Mtu mwenye maadili hana sababu ya kuuaminisha umma kwamba ana maadili mazuri bali matendo yake yataongea zaidi. Wewe ni shoga ambaye una hofu ya mambo yako kujulikana hivyo unatengeneza kinga mapema uje utetewe. Mwanaume uliyekamilika unazihofia nini sketi fupi?
 
Mkuu Afrika hatuna mila moja inayotutambulisha kama bara lakini kwakuwa tuna makabila mengi ndani ya hayo makabila ndio zinapatikana mila na tamaduni mbalimbali

Mfano mila na tamaduni za wamasai ni tofauti na mila za wachaga na wapare hivyohivyo na makabila mengine

Sasa unaposema mchaga au mpare au msambaa hajui mila na desturi zao huo ni uongo
Mimi nilitegemea useme tuchukue yaliyo mazuri na mabaya tuwaachie wao.
Na uzuri au ubaya wa jambo hupimwa na mtu/jamii husika lakini pia ni kulingana na sheria za nchi husika.

Mfano, kuvaa vimini sio kosa kisheria lakini inaweza kua tabia mbaya kwako, basi pambania hilo kwenye familia yako lakini kaa ukijua sheria za nchi hailitambui.

Kuimba/kusikiliza nyimbo hasa hizi bongo fleva nk, inaweza kua mbaya kwako lakini sheria za nchi hazitambui hilo, kwako baya ila kwa wengine inawalipa vizuri. Pambana na jamii yako.

Kwahiyo kwenye hizo unazoita "mila za wazungu" kuna mbaya na nzuri, nzuri zibebwe na mbaya zitupwe na hayo ndio maendeleo kiutamaduni.

Mila na desturi sio static, huwa zinabadirika mkuu, 1800's hawakua wanavaa t shirt na jeans, suits, raba nk lakini kutokana na muingiliano wa watu leo hii wewe unaona jeans ni vazi zuri na linafaa, gauni au skirt ndefu kwa ke ni vazi zuri na linafaa.
 
Huyu jamaa ni mjinga hakuna analojua. Na mara nyingi mwanaume aliyekamilika hawezi ongelea mambo ya ushoga kila mara kwasababu ni mambo ya hovyo hata kutamka. Mtu kama mleta mada ni wale wanaojihusisha na ushoga ila hadharani wanapinga ili kujitengenezea kinga pale mambo yao yanapovuja.
Ni muoga mkuu.
Sijui nguo fupi zinamuathiri vipi aisee
 
Masikini huwa wana brag sana. Ndio maana ni ngumu masikini kuwa Gentleman au a lady. Ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom