Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Anadai mfate mila zenu Waafrika, mila ambazo hata yeye hazijui.Umeleta ishu ya transgender kama kujitetea. Ila nitasimama na kauli yangu kwamba kila zama zina ushenzi wake. Na pia hakuna tabia mpya chini ya jua. Labda kwa sasa tunaziboresha tu. Tangu enzi za Sodoma watu walifanya upuuzi.