Watu wamekuwa waoga kutumia sukari kwa hofu ya kupata kisukari, lakini ukisoma kuhusu chanzo cha kisukari, sioni popote wanaposema sukari ndio chanzo

Kwani soda ina vijiko vingapi vya sukari, na kwanini madokta wakataze kunywa soda.
Hao Madaktari wanao forward messages bila ya wao kuzifanyia kazi.
Madaktari wa siku hizi ni kama manabii na mitume wa zama hizi
 
Sijasoma mada ila nimelia sana,
Uhusiano wa sukari na kisukari siujui, ila sukari Unauhusiano mkubwa na kansa kwa tafiti za sasa
 
Kwani soda ina vijiko vingapi vya sukari, na kwanini madokta wakataze kunywa soda.
Kama tezi kongosho imeathirika na haizalishi insulin ya kutosha au kongosho inazalisha insulin lakin mwili wako unashindwa kuitumia hiyo insulin kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu, hapo maana yake kiwango cha sukari kwenye damu kitazidi kiwango kinachotakiwa na ugonjwa ndio unaanzia hapa.
 
Hapana Huwezi kupata Kisukari kwa kula Sukari..
we hata Ule Sukari kila siku Debe zima Kwa mwezi mzima Huwezi kupata Kisukari zaidi Utapata magonjwa Mengine tu..
KAma Unene usio na kipimo (Obesity)..
Kwa sababu hatua ya mwisho ya mmeng'enyo wa Sukari (Sucrose) ni Glucose..
NA Hiyo inaenda sawa na Yule anayekula Ugali sana au wali sana..

Kwahyo anayekula Ugali sana na anayekula sukari sana wote wako sawa..

Kisukari ni More Far than Malnutrion Based Disorder
 
Biblia imesema kila kitu kwa kiasi. Tuwe na kiasi kwenye kula. Pia tule kunapotokea ulazima wa kula. Kula mara 3 kwa siku isiwe sheria.
Hata bila Biblia common sense na sayansi vinatosha kukuambia madhara ya kuzidisha chakula chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…