SI KWELI Watu wamepigana wakati wa Usaili wa Kada ya Afya nchini Tanzania

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Watu wanachapana mikono huko, yaani ni noma sana.

View attachment 3085851
Ukitazama kwa umakini huyo binti kamtukana huyo jamaa, kama mnabisha leta video yenye sauti. Lakini kwa sababu jamii ya kibongo ishakuwa programmed kwenye kuchukia wanaume basi inaonekana binti hana kosa na jamaa ndio kakosea peke yake.

Kesi ya Paulina Gekul kimyaa, kesi ya mkuu wa mkoa wa Geita ikashupaliwa. Makonda kusema ana mke mzuri hadi taasisi za haki za wanawake wakatoa tamko, mmama afande wa polisi kutuma wabakaji hakuna taasisi inayolalamika na wanaume waliohusika wamekamatwa.

Kwanini wanawake wanaonekana hawawezi kosea?
 
Brother alikosa uungwana,uungwana ni vitendo mkuu, sio kuvaa tu mashati ya kipapaa
 
Kwanini Sauti imetolewa ?
Asilimia kubwa hapa watakuwa upande wa mwanamke...ila angekuwa amefanyiwa hivyo mwanaume kila mtu angeona ni kawaida tu na hata kesi ingemludia kijana wa kiume.

Ukiona mpak mtu mzima kam huyo mbaba kapaniki anampiga mtu ujue kuna kitu hakipo sawa hapo, hawa mabinti wa siku hizi hawana adabu kila mtu wanamuona kama kijana mwenzake.

Natafuta Ajira mchango wako huku
 


Umeongea point kubwa sanaa brother big up 👏👏
 
Hawa wanaojiita wanaharakati wa haki za wanawake wamewajaza viburi mabinti na kuwaaminisha watawatetea kwa kila jambo ndio maana tunafika huku.

Miaka yangu ya primary mpaka olevel nakumbuka binti akishika mimba mshua anamtimua nyumbani na mabinti walijichunga kweli kweli na umalaya holela lakini sasa hivi wanaharakati uchwara wanawatetea kila kitu matokeo yake kuna ongezeko kubwa sana la mabinti kuzalia nyumbani wakiwa hawajaolewa.

Utetezi mkubwa wanaopewa mabinti kutoka kwenye jamii, mamlaka na asasi za kiraia inapelekea mabinti kuwa na uthubutu wa kucheza rafu nyingi sana, tatizo wakikutana na watu ambao hawafumbii macho ujinga matokeo yake ndio haya binti anaonekana victim kumbe yeye mwenyewe ndie chanzo.
 
umenena vyema kabisa mkuu
 
Kukiwa na sauti yoyote ndio kunajustify vipi kumpiga mtu?

Wewe kazini kwako, ulishawahi pewa ruhusa ya kupiga mtu akizingua?
Kwani uko kazini kwako wewe ulishawahi kupewa ruhusa ya kumtukana mtu?

Ukimchokoza mtu akikisha una nguvu za kuweza kumdhibiti endapo akakasilika na kukushambulia.

Ukimchokoza mtu na hauna nguvu za kumdhibiti, basi ukipewa kichapo tulia usianze kusumbua watu kwa sababu umejitakia wewe mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…