Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa.
Pia,
Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo.
Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili mnoooo.
Baba yako amecheat sanaaa, mama yako amecheat sanaaaaa ila bado wako pamoja ila kinacho watofautisha wazazi wako na wewe ni kuwa exposure katika generation hii iko wazi wazi tofauti na enzi za ujana wao.
Mademu wapenda hela walikuwepo toka zamani, Viburi mtu walikuwepo, vicheche walikuwepo, wavivu walikuwepo, wasioweza kuridhisha walikuwepo
Sasa hivi watu wana hack simu za wenza wao, sasa hivi watu wanajisahau kufuta meseji ya mchepuko, sasa hivi matukio yanaonekana security camera. Hakika nakuambia kama hivi vitu vingekuwepo tangu zamani za kale wahariri wangeandika kwenye magazeti namna ya kuipinga ndoa.
So ndoa is just ndoa.
Tabia ya wanawake kuwa irrational ipo tangu mwanzo.
Tabia ya mwanaume kuwa sex machine inayotembea ipo mwanzo tangu zamani.