Watu wana-act kama vile mitihani ya ndoa haikuwepo toka zamani, hakuna cha ndoa za siku hizi! Ni basi tu teknolojia ndio ime-expose mengi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa.

Pia,

Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo.

Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili mnoooo.

Baba yako amecheat sanaaa, mama yako amecheat sanaaaaa ila bado wako pamoja ila kinacho watofautisha wazazi wako na wewe ni kuwa exposure katika generation hii iko wazi wazi tofauti na enzi za ujana wao.

Mademu wapenda hela walikuwepo toka zamani, Viburi mtu walikuwepo, vicheche walikuwepo, wavivu walikuwepo, wasioweza kuridhisha walikuwepo

Sasa hivi watu wana hack simu za wenza wao, sasa hivi watu wanajisahau kufuta meseji ya mchepuko, sasa hivi matukio yanaonekana security camera. Hakika nakuambia kama hivi vitu vingekuwepo tangu zamani za kale wahariri wangeandika kwenye magazeti namna ya kuipinga ndoa.

So ndoa is just ndoa.

Tabia ya wanawake kuwa irrational ipo tangu mwanzo.
Tabia ya mwanaume kuwa sex machine inayotembea ipo mwanzo tangu zamani.

012b1f7be7ca6baf465f01b09a9db481.jpg
 
Bibi yangu anasema hii picha yake umeipata wapi na hako katako chake🤣🤣
 
Kamilisha upendo,

Dumisha ndoa zao,

Furaha itawale eeeh,

Bwana,

Bembeleza unyonge na udhaifu wao,

Familia iwe mwanga wa mbingu uuuh

Natamani nitembee katika upendo wa bwana

Upendo ule wa dhati,

Upendo usio bagua,

Upendo uletao,

Furàha, busara na amani,

Upendo wa kimbingu pekee ulio Bora!
 
Ndoa siku zote zinamatatizo. Lakini teknolojia na kubadilika kwa gender roles zimefanya ndoa iwe ngumu zaidi.

Ideologies mpya kama feminism imewapa wanawake uhuru zaidi lakini hii ina disrupt traditional relationships dynamics.

Siku hizi ndoa zinakuwa ngumu kusustain kwasababu love and respect btn partners si kama zamani.
 
Naheshimu wewe unaesema hutaki kuoa.

Pia,

Na heshimu na wewe ulioa au mwenye mpango huo.

Lakini unapokuja na sababu kuwa wasichana wa siku hizi!! mara wanaume wa siku hizi!!, huo ni ubatili mnoooo.

Baba yako amecheat sanaaa, mama yako amecheat sanaaaaa ila bado wako pamoja ila kinacho watofautisha wazazi wako na wewe ni kuwa exposure katika generation hii iko wazi wazi tofauti na enzi za ujana wao.

Mademu wapenda hela walikuwepo toka zamani, Viburi mtu walikuwepo, vicheche walikuwepo, wavivu walikuwepo, wasioweza kuridhisha walikuwepo

Sasa hivi watu wana hack simu za wenza wao, sasa hivi watu wanajisahau kufuta meseji ya mchepuko, sasa hivi matukio yanaonekana security camera. Hakika nakuambia kama hivi vitu vingekuwepo tangu zamani za kale wahariri wangeandika kwenye magazeti namna ya kuipinga ndoa.

So ndoa is just ndoa.

Tabia ya wanawake kuwa irrational ipo tangu mwanzo.
Tabia ya mwanaume kuwa sex machine inayotembea ipo mwanzo tangu zamani.

View attachment 3233523
Dah hii manzi ya mgongo wazi umenyunda ile mbaya
 
Back
Top Bottom