Watu wana hela sana!!!

Jokes aside...koffie anavutia jamani, mwili wake, cheza yake..pata picha akikunyanyua (nilivyo bonge najua hanishindwi), akikutazama loh nafwaaaa

Duh...mm walaa...mie fally ipupa zile ndevu jaman😋😋! Mie nilikua naona kwa mbali tu wala sinaga mzuka naye .thou zamani nilikua die hard fan...uzee ulipoingia ikawa bas ..mie sebene sasa hv siliwez kbs kucheza sijui y!
 
Mi pia nampenda sana Patoran sauti yake, nyimbo zake full vibe...kama saa hii I'm so excited its already weekend
Mie sijui nisemeje..nadhan nyimbo zake zote naziimba na kucheza ..dah jamaa yuko poa kinyama..alafu ana vibe fulani za kiume...yaan jamaa mgumu fulan arggggh!
 
Duh...mm walaa...mie fally ipupa zile ndevu jaman😋😋! Mie nilikua naona kwa mbali tu wala sinaga mzuka naye .thou zamani nilikua die hard fan...uzee ulipoingia ikawa bas ..mie sebene sasa hv siliwez kbs kucheza sijui y!
Fally ipupa nae yupo vzr. Kucheza mwenzio steps zishagoma nabaki kutikisa kichwa
 
Hahahaha sasa ndugu hapo si bora tunakwenda kuburudika...Laki kwa burudani ya Koffi ni Sawa na lofa kutoa 10k kwa Burudani ya Diamond....MTU mwenyewe anaweza asirudi tena Tanzania ikawa ndio burudani yake ya mwishomwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Mimi niliijua zile jenereta zitapigwa doro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…