Watu wana hela sana!!!

Watu wana hela sana!!!

Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
ati unasema MUNGU katufanyaje?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀

Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
wengi wao wanaenda kuondoa stress,sio kwamba wana pesa
 
Back
Top Bottom