Watu wana hela sana!!!

Watu wana hela sana!!!

Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!

We dada unaniuaga mbavu! Kwamba Mungu katuweza!?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We dada unaniuaga mbavu! Kwamba Mungu katuweza!?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Love...kanunua kwa $55!..huoni km ni mtego wa imani huo🤣! Ndo maana watu wanaendaga kwa waganga kupata mali za haraka haraka..umaskini jamani wa hela unakera!..!sema twapaswa kushukuru kwa kila jambo🤗
 
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀

Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
Waliandaa tiketi ngapi? Hafu kwanini wasingempeleka pale kwa Mkapa Stadium?
 
Wamezaliwa wamezikuta wanaziendeleza...

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu aliniambia ametoka wap amefikaje hapo.aliajiriwa km fundi jenerator...akachek udhaifu wa kampuni ile na boss wake alikua amesharidhika sana..9yrs later akafungua yake ...ile kampuni ikafa...hayo magenerator yoteee ya zantel kauziwa yeye...sasa jidanganye ukijua hizo generator kuwa inaweza kuwa 20m!..dogo anakuambia halal..ni deal after deal..anayaassemble mwenyew na kutengeneza!.sisi tuko busy na kina Mbatia
 
Back
Top Bottom