Kwani tukio ni lini mamy?Kwakweli hata mi miguu imeisha nguvu baada ya kuona hilo, tunavyoringishiwa izo ticket huko status
Kuna magenerator fulani niliyapost juzi juzi ..ile hela waliyotaka nilijua yatakaa mwaka...bas tu kuna mtu akaomba nimpostie atanipa commision..kifupi jana kuna mkaka ana 29yrs katoka dar kafika usk sasa hv ameshayanunua yote 6!...
Mie nimebaki namwangalia najiulizw hivi ni majaribu Mungu anatupa wengine au???...dogo ana kampuni yake...yaani wakati mwingine unastrugle kupata mia mwingine ana milion mia benk!
Mungu katuweza aisee!
Mbona hao walioendelea wanatupima kuwa masikini kwa kutumia chini ya $1 kwa siku? Tzs 100k ni karibu $50 huoni ni kipato cha karibia siku 50 za masikini?Na mnapima watu kuwa na hela kwa kunnua ticket ya laki! Kwa usiku mzima!! Kweli nchi maskini sana bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Love...kanunua kwa $55!..huoni km ni mtego wa imani huo🤣! Ndo maana watu wanaendaga kwa waganga kupata mali za haraka haraka..umaskini jamani wa hela unakera!..!sema twapaswa kushukuru kwa kila jambo🤗We dada unaniuaga mbavu! Kwamba Mungu katuweza!?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mnapima watu kuwa na hela kwa kunnua ticket ya laki! Kwa usiku mzima!! Kweli nchi maskini sana bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanadhani mtu toka BUZA anaweza kulipia hii show..... THUBUTUUUShow ya wachache hiyo hawataki vurugu ndio maana 100k ili waende special tu wenye feza zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀
Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
Waliandaa tiketi ngapi? Hafu kwanini wasingempeleka pale kwa Mkapa Stadium?Unajua Koffie Olomide anafanya Show leo, Tickets zilikuwa zinauzwa 100K na zimeisha kabla kabisa ya show! Huku tunalalamika ugumu wa maisha! 😀
Hivi wanamudu vipi hawa wenzetu?
JF raha sana!Wewe miaka hyo ulikua unanyonya alafu unataka kuturusha roho hapa...labda ulipata stry kutoka kwa dingi ako!
Hapa Naangalia Videos za Albam zake za Force de Grape, Efrakata, Monde Arabe na Afaire D' Etate ni hatari the Gland Mopao, papa Fololo, acha kabisa jamaa alitishaWatu wananoti sana.
Unajua wapenzi wa Koffi wengi ni 40yrs nakuendelea ambao tayari washajijenga
Wamezaliwa wamezikuta wanaziendeleza.....jioni ile ile nilipigwa simu..dogo hna hata 30yrs..jana ndo nikampeleka[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]