radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,292 Sep 28, 2017 #1 "Mwanamke anataka vitu vingi kwa mwanaume mmoja, lakini mwanaume anataka kitu kimoja kwa wanawake wengi"
"Mwanamke anataka vitu vingi kwa mwanaume mmoja, lakini mwanaume anataka kitu kimoja kwa wanawake wengi"
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Sep 28, 2017 #2 Hahahaha
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 25,050 Reaction score 45,202 Sep 28, 2017 #3 Aisee kitu gan hicho ambacho mwanaume anataka kutoka kwa mwanamke maana wana wake wana vitu vingi sana kwwnye miili yao
Aisee kitu gan hicho ambacho mwanaume anataka kutoka kwa mwanamke maana wana wake wana vitu vingi sana kwwnye miili yao
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,654 Sep 28, 2017 #4 Pambana na hali yako ila angalia usitingishe na zetu huku
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,490 Reaction score 8,305 Sep 28, 2017 #5 Hata mwanamke anataka kitu kimoja tu....Hela.