Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Jua la njiro ni kali zaidi ndio mana nina komwe kumbee.... yesuuuuu 😱Upo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
Nataka niwe kigoli.Kwa iyo unataka urudi utotoni ama?
Wewe ndiye mwenye uzi kumbe? Hii ni ID yako nyingine?Nataka niwe kigoli.
Jua la njiro ni kali zaidi ndio mana nina komwe kumbee.... yesuuuuu 😱
Hata mm nmeshangaa?Wewe ndiye mwenye uzi kumbe? Hii ni ID yako nyingine?
Unachoshangaa ni nini?Hata mm nmeshangaa?
NDIO.Wewe ndiye mwenye uzi kumbe? Hii ni ID yako nyingine?
Mleta mada, yupo kimya wewe ndo unamjibia!Unachoshangaa ni nini?
Em tuoneJua la njiro ni kali zaidi ndio mana nina komwe kumbee.... yesuuuuu 😱
Sina kipara, ila ndevu ndy zipo nyingi sana😅Upo Dar? Labda jua limekomaza uso
Au una uwalaza?
Bonge?
NDIO.Mleta mada, yupo kimya wewe ndo unamjibia!
Sina doa usoni kaka, ngozi yangu ipo vyema kabisa wala sijawahi tumia dawa yoyote ya ngoziKInawezekana ulitumia dawa fulani kwa ajili ya ngozi, chunus bila maelekezo ya Dr ikakukomaza uso au kukuletea makunyanzi usoni.
Shikamoo yako siitaki kabisa 😂😂Hebu picha ya umbo tu tuone shida iko wapi. Samahani kwanza natanguliza salamu, shikamoo
Hapana, ila naona napewa mzigo ambao sistahiliKwa iyo unataka urudi utotoni ama?