Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kula shikamoo hiyo shekhe ni barakaShikamoo yako siitaki kabisa 😂😂
Nimesema hata 25 bdo sijafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula shikamoo hiyo shekhe ni barakaShikamoo yako siitaki kabisa 😂😂
Nimesema hata 25 bdo sijafika
Ngoja niwasiliane na mwanasheria wangu nione kama katiba inaniruhusu kuanika komwe langu JF.Em tuone
Mbona wenzako hatuna
Kaka chakula cha kuvuna shambani kwa hapa mjini ni changamoto, lakini situmii sana vyakula vyenye sumu kali.Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinye mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Baki nalo em 🤣🤣Ngoja niwasiliane na mwanasheria wangu nione kama katiba inaniruhusu kuanika komwe langu JF.
Sio lazima uvune wewe. Hata matunda pia yapo, shida yamejazwa sumu tupu.Kaka chakula cha kuvuna shambani kwa hapa mjini ni changamoto, lakini situmii sana vyakula vyenye sumu kali.
Shekhe shkamoo za namna hiyo siyo sawa, huenda ukawa umenizidi parefu kwenye umri.Kula shikamoo hiyo shekhe ni baraka
Ni kweli kaka, lakni kwa upande wa muonekano sina shida. Au labda nahisi ni mavazi yangu na staili yangu ya kuishi au kuongea na watu.Sio lazima uvune wewe. Hata matunda pia yapo, shida yamejazwa sumu tupu.
Hamia kijijini. Ni heri uhai na afya kuliko kujidunga maCOCACORA na matunda yenye sumuKUVU.
Sidhani kama sura inaweza kuwa sababu, japo ndevu ninazo nyingi.Sura yako ni ya utu uzima zaid
Au umechakaza mwili na ushaanza kukimbilia utu uzima na uzeeni
Kunawatu wanasura za kitoto/ujana
Kunawatu wanasura za utu uzima
Kunawatu wanasura za uzee
Kuna wale wenye maumbo ya kitoto/ujana
Kunawale wenye maumbile ya utu uzima au uzee
Mkuu ukifika 45 utaitwa kikongweee
Kijana mambo yako mazuri. Ukiwa na pesa utaamkiwa hadi na wazee.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Mi ni mtoto mdogo sana sheikhShekhe shkamoo za namna hiyo siyo sawa, huenda ukawa umenizidi parefu kwenye umri.
Sura mkuu ni miongoni mwa sababu. Mm sikuzote naonekana mdogo kiumri. Hakuna aliyewahi patia umri wangu kwa kuniangalia. Wote husema miaka midogoSidhani kama sura inaweza kuwa sababu, japo ndevu ninazo nyingi.
Mwonekano wako ni vile watu wanakuona na sio vile unavyojiona.Ni kweli kaka, lakni kwa upande wa muonekano sina shida. Au labda nahisi ni mavazi yangu na staili yangu ya kuishi au kuongea na watu.
Pesa labda za kula na kulipa kodi tu, ila cha zaidi hakunaKijana mambo yako mazuri. Ukiwa na pesa utaamkiwa hadi na wazee.
bas mwambie akuhudumie vzur ujana utakuja tuNdoa bado kdg tu, ila mtoto yupo
Kununa ni kweli, mikausho mikali muda wote. Kuhusu nguo navaa sana official na makoti makubwa ya vifunguo vitatu 😂😂Solution ni hii
Punguza kununa, hakikisha unatabasamu kila mara, pia punguza kuvaa nguo nyeusi...