Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #61
Nimesema sijafika hata 25, yaani nipo 22 na miezi kadhaa.Ww ni kijeba kabisa miaka yote hiyo 25!!??
Zee kabisa ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesema sijafika hata 25, yaani nipo 22 na miezi kadhaa.Ww ni kijeba kabisa miaka yote hiyo 25!!??
Zee kabisa ww
The law of large numbers 20/25 ni sawaNimesema sijafika hata 25, yaani nipo 22 na miezi kadhaa.
Wengine wakinisalimia nakosa hata nguvu za kuitikia maana huenda tumelingana au hata wamenizidi umri 😅Kama ni hivyo hao wanaukasilimia labda wanakuogopa 😅
Kwa either sura labda ya kiboss
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Yaani hata sielewi jamani 😂😂😂😂 mbona niko serious muda wote tyu 😂😂😂😂😂 Muda gani huwa unaactivate mood ya serious tukutumie kwenye ushauri Bichwa komwe
Shukran mkuuPole sana mkuu
MxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiieYaani hata sielewi jamani 😂😂😂😂 mbona niko serious muda wote tyu 😂😂
Nadhani stress kwa umri huu ni kawaida hasa ukiwa tayari umeanza kuyabeba majukumu. Ila nitajitahidi kupunguzaUtapewa ushauri wa kila aina Ila mambo yanayomzeesha MTU haraka Sana ni
Stress
Stress
Sigara na bangi
Pombe zinaharibu mfumo wa ndani zaidi maini na figo ,moyo n.k
Pambana uzishinde stress kwanza.
Navuta subraTofauti na hewa kitu gani kingine unavuta?
😂😂😂😂🙈🙈🙈Mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiie
Nadhani stress kwa umri huu ni kawaida hasa ukiwa tayari umeanza kuyabeba majukumu. Ila nitajitahidi kupunguza
Safi sana hunywi pombe ila kahawa nayo inaweza kuchochea muonekano wa ngozi yako kuonekana una ka uzee fulani. Au labda ni Genes nzuri tu. Kwani kuonekana umezeeka kuna kupunguzia nini? Hamna . Baraka hizo.Situmii pombe wala Sikai kwenye vilabu vya pombe. Labda kwenye vijiwe vya kahawa ndipo napenda kukaa sana.
Akuna cha Coca wala Pepsi mkuu ......acha kumdanganya huyu dogo ....Pombe nagonga vzr Nakula Vizuri ..Sijisifii ila kazini tu kuna madem kibao wananifukuzia.Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
Nimekuelewa vizuri sana, naamini zipo njia nzuri za kusaidia kupambana na stress. Unaweza kunisaidia japo chache tu?Stress kila MTU anazo Ila unabidi kuwa na uwiano mzuri
Maana stress zinazeesha haraka Sana ukiwaangalia vijana wamezeeka kwasababu hiyo tu
Acha bangi,viroba na pombe za ofa!Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
ok automatic unastress na ndio zimekuzeesha punguza stressNavuta subra
Kuna mzee mmoja niliwahi muuliza hivyo, akaniangalia akasema ni kwasababu ya utofauti mkubwa nilio nao na vijana wengine wa rika langu. Nikamuuliza ni tofauti zipi akasema namna ninavyo ongea na appearance yangu kwa ujumla.Safi sana hunywi pombe ila kahawa nayo inaweza kuchochea muonekano wa ngozi yako kuonekana una ka uzee fulani. Au labda ni Genes nzuri tu. Kwani kuonekana umezeeka kuna kupunguzia nini? Hamna . Baraka hizo.