Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
-
- #281
Sijaelewa hapoWapo wengi tu...ukiwa unasoma coment utawajua...wanajichanganya kwenye coment
Wengine wana id na avatar za kike kabisa....fatilia zile nyuzi za kupendanana nyingi ni mtu mmoja.
Bado wanaendelea na check upDaktari kasemaje sasa
Sawa kakaBado wanaendelea na check up
KAMA ULITUMIA MIKOROGO KWA MUDA MREFU MARA NYINGI NDIYO INASABABISHA NGOZI YAKO KUZEEKA HARAKA!!!Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
ni vile ntu unavyokuwa na muonekano ambao huenda ukawa umeshindwa kuubadilisha kulingana na labda kipato chako hakitoshi kujitunza ipasavyo au kunenepa kupita kiasi
We cha mtoto.Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Niseme mara ngapi..!!!Pombe ndip sabab unazeeka sana kama una miaka 100
Aiseee kumbe wazee vijana tupo wengi ππWe cha mtoto.
Mimi wanafikiri nina 45
πππShekhe shkamoo za namna hiyo siyo sawa, huenda ukawa umenizidi parefu kwenye umri.
π³Hasira na ukali ndivyo vyakuzeesha mkuuNiseme mara ngapi..!!!
SITUMII POMBE.
Hata mimi naona mkuuπ³Hasira na ukali ndivyo vyakuzeesha mkuu
Girl friend wangu wa huku jf wakati nazungumza nae mara ya kwanza alishangaa sana π€£π€£π€£Aiseee kumbe wazee vijana tupo wengi ππ
Ni kweli kaka, lakni kwa upande wa muonekano sina shida. Au labda nahisi ni mavazi yangu na staili yangu ya kuishi au kuongea na w
Huo ni mtazamo wangu tu, pia nilihitaji kupata mitazamo ya wengine juu ya hili jambo.Majibu haya hapa jumlisha na udevu Sasa mbona unataka kutuchosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majibu haya hapa jumlisha na udevu Sasa mbona unataka kutuchosha
Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwaNimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.
Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Kabisa bila picha hapa ni uongoTuone picha ya sura na umbo tujiridhishe
Napiga hizo mpaka meno yametoboka,sikatai kwamba ni sumu ila nikikwambia nina 35 tutabishana sana.Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.
COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.
Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.
Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.
COCA COLA / COCA CORA....
π π πNapiga hizo mpaka meno yametoboka,sikatai kwamba ni sumu ila nikikwambia nina 35 tutabishana sana.