Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
KAMA ULITUMIA MIKOROGO KWA MUDA MREFU MARA NYINGI NDIYO INASABABISHA NGOZI YAKO KUZEEKA HARAKA!!!

JITAHIDI KUKA MLO KAMILI NA PIA TUMIA MAFUTA YA NAZI TUU KUPAKA KWENYE MWILI WAKO UTAANZA KUBADILIKA KIDOGO KIDOGO THEN UTARUDIA KATIKA HALI YAKO YA KAWAIDA.

POLE SANA KWA CHANGAMOTO ZA KIDUNIA.

MUOMBE BABA MUNGU AKUFANYIE UUMBAJI UPYA!!!
AMINA NA AMINA 🙌
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
We cha mtoto.
Mimi wanafikiri nina 45
 
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.
Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwa
 
Kijana acha kunywa COCACOLA utaazeeka sana. Nimekupa siri ya ndanii sana usifanye mchezo.

COCACOLA sijui PEPSI na MIRINDA na masoda mengineyo lakini haswa haswa COCA COLA, acha kabisa utageuka kuwa MBABU.

Usiweke uchafu mwilini, usinywe mapombe na matakataka.

Kula chakula kilicho hai kile ambacho unavuna kutoka shambani au kwenye mti. Utakuwa kijana na mwenye sura ya mtoto mpaka utatongozwa laivu na MABICHWA KOMWE.

COCA COLA / COCA CORA....
Napiga hizo mpaka meno yametoboka,sikatai kwamba ni sumu ila nikikwambia nina 35 tutabishana sana.
 
Back
Top Bottom