Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwa
Nadhani yaweza kuwa sababu pia, wengi wanadhani mwili wangu una tatzo lakn sio kweli. Maoni mazuri haya nashukuru kaka 🙏
 
Sijasema nimepigiwa na maisha, ila ningependa kufahamu sababu ni ipi kuonekana mkubwa. Kama una sababu unaifahamu unaweza kueleza hapa.
Mkuu utakuwa una mwili mkubwa halfu mnene, Watanzania hawaja Zoe miili mikubwa
 
Punguza punyero uso upate Nuru
 
Una hali ngumu ya maisha. Ni hayo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…