Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #301
Nadhani yaweza kuwa sababu pia, wengi wanadhani mwili wangu una tatzo lakn sio kweli. Maoni mazuri haya nashukuru kaka 🙏Hii inatokea kama unamawazo tofaut na Jamie au ni mwana Mapinduz ambapo ili kuwa ni ngumu kwa mtu mwingine kufanya ivo Jamii haiamin katik umri mdogo kwamba anaweza kutoa mawazo ya kitu kilicho fanyika ata Kayla hajazaliwa