Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika.

Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii hali inanichangaya kichwa wakati mwingine.

#BM
acha kupiga punyeto
 
Umaskini unazeesha sana, pia stress na kukosa amani vinachosha na kufubasha mwonekano.
 
Acha kunywa shimwaa, pombe gani unakunywa huku umekunja sura?

Na Bado soon utaanza kuitwa Babu
 
Katika kitu ambacho siwezi kufanya ni kupoteza akili zangu hata kwa sekunde tu, labda nikiwa nimelala.

Namaanisha siwezi na sijawahi kunywa pombe aina yoyote.
 
Punguza mawazo, tafuta pesa Kwa njia yoyote ile. fasta tu utaanza kuitwa kijana
 
Mawazo ninayo, lakini ni mawazo Positive. Pesa natafuta ila sio kwa pressure.

Sihitaji kuitwa kijana kwasababu najua mimi ni kijana, ila nashangaa kuitwa mzee wakati mimi sio mzee.
 
Huna pesa that's why mpk sura Yako mwenyewe unakukataa
 
Back
Top Bottom