Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
- Thread starter
- #321
View attachment 2983676Sijakuambia had usoni, ishia shingoni.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2983676Sijakuambia had usoni, ishia shingoni.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Lingine hupati lishe nzuri, unapiga sana punyeto.Sawa mkuu, kweli ni hilo tu au kuna lingine?
Sawa, kuna lingine?Lingine hupati lishe nzuri, unapiga sana punyeto.
Pata mapumziko ya kutosha. Kunywa maji mengi pia.Sawa, kuna lingine?
Nimekuelewa mkuu, ushauri mzuri sana huu nimeupenda.Pata mapumziko ya kutosha. Kunywa maji mengi pia.
We nawe utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia mjini hapa.😁😁 Siwezi kujianika humu sister
Sasa mbona profile Ina picha ya kikeWe nawe utakuja kuuziwa mbuzi kwenye gunia mjini hapa.
Mwanaume mwenzio unamuita sister na umerelax 'kwerikweri'
Kwani huyo mzee kwenye profile yako ndo wewe?Sasa mbona profile Ina picha ya kike
hatakama ni mwanaume sidhani kama nahusika kwa lolote hapo. Ni maamuzi yake kuweka picha anayotaka.Kwani huyo mzee kwenye profile yako ndo wewe?
Umejiunga lini jf?
Unahusika kwa kumpa jinsia isiyo yake. Ningekuwa mimi tungeshikana mashati hapahapahatakama ni mwanaume sidhani kama nahusika kwa lolote hapo. Ni maamuzi yake kuweka picha anayotaka.
Kuhusu kujiunga JF, nipo tangu 2021
Sikujua na bado sina uhakika na hilo, labda mwenyewe athibitishe kwamba nimekosea kutambua jinsia yake.Unahusika kwa kumpa jinsia isiyo yake. Ningekuwa mimi tungeshikana mashati hapahapa
🙏Una busara
Komaa na mibusara hiyo sasa. Ndo maana unaitwa mzeeSikujua na bado sina uhakika na hilo, labda mwenyewe athibitishe kwamba nimekosea kutambua jinsia yake.
Kweli naitwa babu lakni hiyo salamu sijaipokei😁😁Komaa na mibusara hiyo sasa. Ndo maana unaitwa mzee
Kwanza shikamoo!
😁😁😁Kweli naitwa babu lakni hiyo salamu sijaipokei😁😁
Ndyo kitu gani hicho mkuu?Utakua una wajihi wa kibwanyenye
Kubaliana na hali yako maana kuzeeka hakukimbiwi hata ufanye nnSasa hapo unanishauri nifanye nini, niende uturuki au nianze kufanya scrub 😅😂😂
Sawa kaka, mambo ya msingi hayo na nitakabiliana nayo vyemaKubaliana na hali yako maana kuzeeka hakukimbiwi hata ufanye nn
Kula vizuri
Tunza mwili
Fanya mazoezi
Epuka kuingiza mwilin sumu nying
Ruueiwieiririei399d8fjrjfjfidoeoeHuo ni mtazamo wangu tu, pia nilihitaji kupata mitazamo ya wengine juu ya hili jambo.