EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 502
- 461
Umebaki kushangaa tu.Mimi kuna demu mmoja kitambo nimeruka naye sana kibachela, yani namjuwa nje ndani alivyo na pepo la ngono, ila siku za karibuni post zake Facebook ni mtu wa church sana makanisa yetu haya haya kama ya kina Masanja.
Sasa kilichonishangaza na yeye Sasa hivi ni mchungaji na Leo alikuwa live kabisa kwenye moja ya redio station zetu hizi.
Sasa ndio nimepata akili ni kwa nini makanisa ulaya hayana watu yamebaki tupu, mzungu hayupo tayari kushiriki kwenye udanganyifu huku akijuwa wazi ukweli ni upi.
Hapa sina maana ya ukristo siyo dini sawa lakini ukweli ndani yake kuna mazonge mengi sana.