Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

Wanaume wa dini Sana, watu waliostarabika Sana, waungwana, wapole hawa ndoa zao ni shida kina mama awashikiki. Kisaikoloji wanawake wanapenda mwanaume anaemkandamiza ndio ujisikia amani zaidi kuliko wanaume diplomatic.
 
Kanisani ni meeting place tu siku hizi. Awafati utakatifu bali wanaenda Ili kuridhisha majirani
 
Lakini napata mashaka na huyu Masanja mwenyewe,hizi safari za kwa Biden ni nyingi.Na mtu anayezunguka sana kule huwa sina imani na 'privates' zake(mwenye kusikia na asikie)

WAKATI MWINGINE MUNGU AMERUHUSU HILI KUPONYA ROHO ZA WENGI. SIO KILA KANISA NI HEKALU LA MUNGU....
 
Back
Top Bottom