Watu wanaenda Kanisani wamevaa vitu vya ajabu unategemea nini?

Umebaki kushangaa tu.
 


😂😂😂
Daah! Wee jamaa umenichekeshà sana
 

😀😀
Tuachie mama mtumishi wetu.
 
Taikon unakwenda sasa kutembea barabarani na bakora mkononi kama mzee kifimbo cheza wa Sank maana hasira zimekuzidi

Hutaki kupitwa na kitu sasa soon utakuwa kama mpwayungu village

Matukio yanayotokea yanarahisisha kufundisha Kwa mifano halisi.
Ukitoa mifano ya watu wasiofahamika watu hawataelewa na wataona ni chai
 
Umebaki kushangaa tu.
Nashindwa kushangaa kabisa, well tuseme amempokea Yesu na kubadilisha maisha sina shida na hilo, lakini kuwa Pastor?

Na bado zile posters zake kwenye page yake akirusha bado jeans za kubana mwili kama kawaida, na ana tako la kiwango kabisa, in short ni mzuri kwa viwango vyangu, lakini kuwa Pastor? Hapo Mimi hiyo treni nishusheni tu.
 

Ndio maana unaambiwa usiwaaminusiwaamini
 

Habari hizi ni muhimu kwa sababu ni mifano inayoweza kueleweka Kwa urahisi Kwa watu.
Hivyo ni muhimu kuitumia katika mafundisho.
Ukitoa mafunzo yasiyo na Stori Kama hizi watu huona hazipo Relevant na Maisha ya sasa
 
Mkuu ongezea nyama
Kazia kidogo

Ova
Kichaka Cha
Wachwawi
Wazinzi
Walevi
Waenda kwa waganga..
Ila ukweli tu tunasali kinafiki Sana hadi Mungu anatushangaa.

Mie naona huko sehemu za kuabudia tuite tu sehemu za kukusanyikia na kujumuika basi suala la kuabudu Ni wachache sana..
 
vaeni kama waislamu mnapokuwa nyumba za ibada mbona bikra maria anavaa hejabu na nguo ndefu wakristo mnafeli wapi ?
 
Wanaume madikteta ndoa zao zimenyooka na zimetulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…