Wanaume wa dini Sana, watu waliostarabika Sana, waungwana, wapole hawa ndoa zao ni shida kina mama awashikiki. Kisaikoloji wanawake wanapenda mwanaume anaemkandamiza ndio ujisikia amani zaidi kuliko wanaume diplomatic.
Lakini napata mashaka na huyu Masanja mwenyewe,hizi safari za kwa Biden ni nyingi.Na mtu anayezunguka sana kule huwa sina imani na 'privates' zake(mwenye kusikia na asikie)