Soma kwa kutumia akili acha kutumia kijambio ...sikusema mapishi nimesema ibada za dini zao...mapishi hayana shida yoyote ..kilicho katazwa kwa wakristo ni kula chakula au kitu chochote kilicho fanyiwa ibada kwa miunguUnamaanisha kuna viumbe hawali vitoweo vilivyoandaliwa na Makafiri ila wanakula samaki walioandaliwa na Makafiri mabuchani au siyo Mkuu?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hakuna shida kula nyama iliyo chinjwa na muislamu au mtu yoyote shida ni ibada iliyo fanyiziwa hiyo nyama au chakula ndiyo wakristo wamekatazwa kula vyakula vya hivyo...tatizo ibada ya uchinjaji mnayo fanya kwenye uchinjaji wenu.Kwani kuna shida gani kula nyama iliyochinjwa na muislamu?
Kama hakuna shida maana yake hiyo ibada haina effectHakuna shida kula nyama iliyo chinjwa na muislamu au mtu yoyote shida ni ibada iliyo fanyiziwa hiyo nyama au chakula ndiyo wakristo wamekatazwa kula vyakula vya hivyo...tatizo ibada ya uchinjaji mnayo fanya kwenye uchinjaji wenu.
Mimi nifanye ibada ili iweje?Wewe kaka wa viti virefu unafanya ibada ipi?
Japo nilshawahi kula ila mdudu hafai kwa matumizi ๐Kuna viumbe hawali vitimoto ila kipindi cha mfungo wao biashara hudoda balaa kwa wauzaji, Binadamu tuna unafki sana.
Dini ya kweli ni Mtu mwenyewe ila si kukariri vifungu vya maandiko matakatifu.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Kuna tofauti ya muislamu kuchinja na uchinjaji wa kiislamu...tatizo ni uchinjaji wa kiislamu....Kama hakuna shida maana yake hiyo ibada haina effect
Naunga mkono hata mimi nilisha wahi kula ila ni kweli nguruwe hafai kuwa chakula ni kama bata ...kasa...pweza nk tatizo viongozi waislamu wanasababisha watu kula nguruwe maana wanafanya maisha magumu kwa uongozi wao wa kutokujali taifa na kukosa uzalendo kwa hiyo bei ya nyama ya kawaida kuwa siyo tofauti sana na bei ya nguruwe ..kama kilo ya nyama ya ng'ombe ingekuwa elfu 4000 na staki elfu 6000 nani ange angaika na utamu wa nyama ya nguruwe ....ili kuzuia nguruwe njia bora ni kuakikisha bei ya nyama njema inakuwa chini sana ...Japo nilshawahi kula ila mdudu hafai kwa matumizi ๐
Kijambio chako hakinihusu, soma katikati ya laini utaelewa nilikuwa namaanisha kitoweo kilichoandaliwa Makafiri kuliwa ni haramu kwa dini ile ila Makafiri hao hao huandaa samaki buchani na Wafia dini hununua na kwenda kutumia.Soma kwa kutumia akili acha kutumia kijambio ...sikusema mapishi nimesema ibada za dini zao...mapishi hayana shida yoyote ..kilicho katazwa kwa wakristo ni kula chakula au kitu chochote kilicho fanyiwa ibada kwa miungu
Mt.Marigerita Maria Lakoki pray for our Nation, Aimen ๐Ninyi mnaoponda nguruwe kuweni na adabu kafungeni kuku, Bata,
Sisi watu wa nguruwe mtuache kabisa,
Bikra Maria mkingiwa dhambi ya asili na msimamizi wa Taifa la Tanzania, utuombee.... cc DIVISHENI FOO kesho jumuiya tutasali kwa Tlaatlaah afu mwambie Lucas Mwashambwa bahasha ya baba Askofu aje nayo
Mt Ritha pray for us, Amen
AimenMt.Marigerita Maria Lakoki pray for our Nation, Aimen ๐
Machawa bhana๐Mt.Marigerita Maria Lakoki pray for our Nation, Aimen ๐
Kwahiyo uliweka stika ya LISU au Putin ni sanamu kifunze kutofautisha kati ya sanamu na ushabikiHahah Kuna watu wanaweka mpaka stika ya mtumishi kwenye magari ili gari lilindwe.
Waliwacheka wanaoweka sanamu mbele na kuanza kasali Sasa na wao wanaweka stika kwenye magari na nyumba ili zilindwe.
Hii ni ibada ya sanamu 100%