Watu wanajua kutunza aisee

Harrier imetoka 2003. Huo mwaka kulikuwa ni namba gani zinasajiliwa?

Hii nchi tuzuie magari chakavu sasa. Gari ya 2003 mtu anashangaa ikiwa namba A.
Sawa mwaka 2003 ilikuwa harrier Toledo gani kama unajua? Na hilo toleo la kwenye Uzi ni mwaka gani na namba A iliishia mwaka gani?
 
Pointless.
 
Sawa mwaka 2003 ilikuwa harrier Toledo gani kama unajua? Na hilo toleo la kwenye Uzi ni mwaka gani na namba A iliishia mwaka gani?
2003 ndipo harrier second generation zilianza kuingia sokoni.

Kuna Kipindi nafanya taasisi fulani ya fedha ya serikali ambapo aliyekuwa boss wangu sasa hivi ana harrier second generation namba A ila imechoka kidogo.

Mtu yoyote aliyeweza kununua hiyo gari ilipotoka kuanzia 2003 angekuwa na hiyo namba A.
 
Kwenye magari mkuu mi sio mgeni, muonekano wa gari iliyofungiwa ndani miaka 15 haiwezi kuwa na iliyo kuwa imported recently maana mazingira ya bongo yanajulikana. Kuhusu namba C kuwa imenyooka kuliko namba D hiyo kawaida sana kila siku tunaziona road. Kuna utunzaji mzuri pia,ila kuna ulaghai mzuri pia kama kwa hiyo gari
 
Hata uitunze vipi haiwezi kuwa kama recently imported vehicle..mazingira ya bongo tu yanatosha kuchakaza gari. Anaebisha aende hata showroom akaone gari zilizokaa mda mrefu
 
Reactions: Tsh
Harrier imetoka 2003. Huo mwaka kulikuwa ni namba gani zinasajiliwa?

Hii nchi tuzuie magari chakavu sasa. Gari ya 2003 mtu anashangaa ikiwa namba A.
Hakuna anaeshangaa kuwa ni namba A,tunachoshangaa ni condition ya gari. Hata utunze vp haiwezi kuwa kama kitu iliyokuwa imported recently
 
Reactions: Tsh
Hakuna anaeshangaa kuwa ni namba A,tunachoshangaa ni condition ya gari. Hata utunze vp haiwezi kuwa kama kitu iliyokuwa imported recently
Okey mkuu.
 
Mkuu hii tiss ya sasa ni ovyo na wanaweza kufanya upuuzi huu,nimeshuhudia magari yao wakitumia number plates za SA hasa za GP!,na uozo zaidi wanaziweka hizi juu ya number plate nyingine (wanaficha Ile ya ndani)
 
Nishayaona hayo magari
 
Ndo faida ya kununua gar ya mwaka 2004 mwaka 2022 sasa mnashangaa mwenzenu pesa iko alinunua pind imetoka toka miaka iyo
Ndo maana harisi ya tutafute pesa tutumie vtu vipya na vilivyo kwenye wakat
 
Hiyo inawezekana,gari kwa wiki haitembei hata km 3,itaacha kuwa nzuri,hizo wanaweza sana wahindi wa magorofani...
 
Kwani
namba A imeanza mwaka gani,
na hiyo gar Ni ya mwaka gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…