Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Cha ajabu unaweza kukuta na gharama zote hizo lakini hapati usingizi mpaka ameze dawa,wakati mimi nalalia ngozi nalala mpaka nakoroma...

Always maskini ashibe asishibe atalala vizuri tajiri hampati usingizi anawaza jinsi ya kulinda mali zake zisipotee
 
Hata kapicha hakuna.
Hili bed lke analiimbaga
 
And... What does it do when he sleep[emoji849]
 
Lakini usingizi ni ule ule ni sawa na aliyekula biriani na yule aliyekula mhogo shibe ni ileile,Wacko jacko alikuwa na kitanda mithili ya kinyumba chenye hewa maalumu lakina bado akaondoka ,kuna wengine wana vyoo vilivyonakishiwa kwa dhahabu mkuu lakini wote ni starehe ile ile yule mwenye choo cha dhahabu na huyu wa choo cha shimo
 
Hili halipo Kariakoo? Malina la kawaida tuu kama Godoro Dodoma.
 
Drake sometimes Mimi naona anazidisha masifuri katika vitu anavyonunua nakumbuka aliwahi kununua Pete ya billioni 2 pia video yake ya God's plan ilitumika zaidi ya billioni 1.4 so far mbona ni video ya kawaida tu!?...simuelewagi huyu jamaa
Ile video .....aligawa pesa Sana Kwa watu wasio kuwa na uwezo.....ndio maana alisema Ivo
 
Kuna watu akili kubwa kwenye biashara. Hilo godoro wakiliuzia kariakoo litauzwa milioni ila sababu wanamuuzia drake lina thamani kweli.

Godoro lile lile la Confy linakuwa branded kuwa hili ni la kifahari. Unawekewa na vitaa taa na kuongeza tumbwembwe mbwembwe kisha unaambiwa ni kwa ajili ya watu wazito wenye uwezo halafu linauzwa kwenye duka la kifahari.
 
Drake ni mwafrika?
 
Uzur level of satisfication ni ileile namie naelalia ngoz ya Ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…