Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Haa ina maana hilo godoro linameza wcbwaa,konde gang na kingmusic wote kwa pamoja balaa hili.....
lkn all in all hilo godoro haliwezi kuzidi Raha ya kumlalia mwanamke ha haaa kwendeni zenu na mahesabu yenu....
 
Acheni mawazo ya kimaskini na roho ya kwann waafrika na watanzania wenzangu ndio maana siku zote tunabaki masikini na kusononeka huku furaha yetu ikiwa ni kuona wale wenye nazo wakifirisika...Drake anaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Tsh.

Billion 20 halafu wewe chokoraa unayeishi kwenye kibanda cha kupanga unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi unasema hajawekeza ulitaka awekeze kwenye nn labda. Nashangaa mtu anaropoka eti kina Bill Gate wanavaa kawaida na kuishi maisha ya kawaida Sasa chukua hii siri zile nguo wanazovaa usichukulie poa kwa muonekano zile nguo ni za garama mno na wale hawanunui nguo dukani wanatengenezewa maalum kwa ajili yao na wanaishi maisha ya garama mno ambayo hata kina Drake hawagusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbongo kwa kupangia watu jinsi ya kuishi utamuweza basi..
 
Huu ndo ukweli
ungekuwa na pesa level hiyo ukaambiwa utumie kitu ya Dodoma ungereply the same. Kuna kipindi nilikuwa naona watu wanaonunua maji ya kilimanjaro ya Lita 1 kwa Tsh. 300 wakati maji ya ndoo yanauzwa Tsh.10 kwa ndoo (Lita 20) kama hawajielewi na niliapa kutokuja kufanya hiyo kitu ya ujinga..sasa najua lilikuwa ni suala la muda tu na rasilimali.
Agemate mwingine alikuwa anaona kuagiza ugali hotelini ni matumizi mabaya ya pesa na aliapa hatowahi kuja kufanya hiyo kitu ya ujinga, saizi kaweka bili ya dona na analipa in-advance. Ni sawa na mtu ambaye simu yake ya gharama kumiliki ni ya elfu 20 miaka yote anavyokushangaa unayenunua simu ya Laki 5 anakuona mfujaji wapesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vigodoro vyetu vya laki 3 unusu na laki 6 sie tunajiegesha tu.

Kuanzia leo nitarudi kujiegesha kwenye kipande changu cha mkeka, ni matusi makubwa kama nikisema nami nina godoro[emoji13]🤣[emoji23]
 
Drake sometimes Mimi naona anazidisha masifuri katika vitu anavyonunua nakumbuka aliwahi kununua Pete ya billioni 2 pia video yake ya God's plan ilitumika zaidi ya billioni 1.4 so far mbona ni video ya kawaida tu!?...simuelewagi huyu jamaa

Video ile ni gharama za video jumlisha na ile misaada aliyotoa mule ndani, kifupi matukio yale ni ya ukweli, hayakuwa maigizo.
 
Anachotuambia nini?? Yeye analala, wengine tunajiegesha??

Everyday is Saturday.....................😎
 
Kwa msanii kufanya matumizi ya aina hii ni njia mojawapo ya kujitangaza na kubaki midomoni mwa watu. Hivi tunavyomzungumzia ni pesa kwake.

KUMBUKA: Kampuni hazifanyi matangazo na msanii asiyefuatiliwa na jamii.
Maskini bna,sasa raha ya pesa ni nini? Me nilalie godoro la 150k na drake naye? Raha ya pesa uionje ladha yake ili upate hamu ya kuitafuta bna,yaani una mabilion ya pesa uhangaishane na daladala si ndagu hz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungekuwa na pesa level hiyo ukaambiwa utumie kitu ya Dodoma ungereply the same. Kuna kipindi nilikuwa naona watu wanaonunua maji ya kilimanjaro ya Lita 1 kwa Tsh. 300 wakati maji ya ndoo yanauzwa Tsh.10 kwa ndoo (Lita 20) kama hawajielewi na niliapa kutokuja kufanya hiyo kitu ya ujinga..sasa najua lilikuwa ni suala la muda tu na rasilimali.
Agemate mwingine alikuwa anaona kuagiza ugali hotelini ni matumizi mabaya ya pesa na aliapa hatowahi kuja kufanya hiyo kitu ya ujinga, saizi kaweka bili ya dona na analipa in-advance. Ni sawa na mtu ambaye simu yake ya gharama kumiliki ni ya elfu 20 miaka yote anavyokushangaa unayenunua simu ya Laki 5 anakuona mfujaji wapesa.
Kwani hamuwezagi kuandika comment fupi fupi?
 
Back
Top Bottom