Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother utakuja kuwa tajiri mwenye Mali nyingi sana na utaishi maisha utakayotaka believe me....Work hard muombe MUNGUMi sijaona sababu ya kumdiss jamaa mbona! Ukiwa na pesa nyingi na huna matumizi vitu km hv ni kawaida...ww hiyo cm yk unayotumia kutype lbd inaanzia laki 3 mpk milion kadhaa kwa wale wa eleven pro sijui note something na S series ila kuna raia atakwambia mi ninunue cm ya lak5 kwani za 80 haziingii whatsap?? Kuna wakati unaweza kodi bajaj mtu akasema yaani hapo na hapo tu anapanda bajaji!! Hiyo buku3 si bora ninunue sabuni? So tusipanic its all about mali na matumizi kwa matakwa ya mtafutaji mwenyewe!
Watu weusi tuna matatizo sana kwenye matumizi. Badala awekeze for the future yeye anaspend na kutajirisha wengine. Hajifunzi kwa kina Muhamed Ali kina Mike Tyson na wengine walivyfilisika?
Wazungu matajiri kina Bill Gates wanavaa kawaida na wanalala kawaida tu
Huo ujinga ndo siutakagi
Kwa msanii kufanya matumizi ya aina hii ni njia mojawapo ya kujitangaza na kubaki midomoni mwa watu. Hivi tunavyomzungumzia ni pesa kwake.Watu weusi tuna matatizo sana kwenye matumizi. Badala awekeze for the future yeye anaspend na kutajirisha wengine. Hajifunzi kwa kina Muhamed Ali kina Mike Tyson na wengine walivyfilisika?
Wazungu matajiri kina Bill Gates wanavaa kawaida na wanalala kawaida tu
Nimekusoma mkuu ingawa sikubaliani naweAcheni mawazo ya kimaskini na roho ya kwann waafrika na watanzania wenzangu ndio maana siku zote tunabaki masikini na kusononeka huku furaha yetu ikiwa ni kuona wale wenye nazo wakifirisika...Drake anaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Tsh.
Billion 20 halafu wewe chokoraa unayeishi kwenye kibanda cha kupanga unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi unasema hajawekeza ulitaka awekeze kwenye nn labda. Nashangaa mtu anaropoka eti kina Bill Gate wanavaa kawaida na kuishi maisha ya kawaida Sasa chukua hii siri zile nguo wanazovaa usichukulie poa kwa muonekano zile nguo ni za garama mno na wale hawanunui nguo dukani wanatengenezewa maalum kwa ajili yao na wanaishi maisha ya garama mno ambayo hata kina Drake hawagusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha sure.ungekuwa na pesa level hiyo ukaambiwa utumie kitu ya Dodoma ungereply the same. Kuna kipindi nilikuwa naona watu wanaonunua maji ya kilimanjaro ya Lita 1 kwa Tsh. 300 wakati maji ya ndoo yanauzwa Tsh.10 kwa ndoo (Lita 20) kama hawajielewi na niliapa kutokuja kufanya hiyo kitu ya ujinga..sasa najua lilikuwa ni suala la muda tu na rasilimali.
Agemate mwingine alikuwa anaona kuagiza ugali hotelini ni matumizi mabaya ya pesa na aliapa hatowahi kuja kufanya hiyo kitu ya ujinga, saizi kaweka bili ya dona na analipa in-advance. Ni sawa na mtu ambaye simu yake ya gharama kumiliki ni ya elfu 20 miaka yote anavyokushangaa unayenunua simu ya Laki 5 anakuona mfujaji wapesa.
Brother utakuja kuwa tajiri mwenye Mali nyingi sana na utaishi maisha utakayotaka believe me....Work hard muombe MUNGU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Drake ni Ngozi Nyeusi!?..Siku akidanja tunamsubili na makoleo na majembe huku then tinafukia aridhini na mchwa wanafanya kazi yao.
Hii Ngozi kwa matumizi ya sifa haijambo. Na hayo madude ya gharama watengenezaji wameshajua waafrika ndio wanayapenda sana ili kujionyesha wao Ndio kila kitu. Ni wazungu wachache sana utawakuta wanafanya mambo ya gharama kubwa eti kwa ajili tu ya kujiona bab kubwa. Sidhani hata D Trump analalia godoro la hiyo gharama. Sijui ni ushamba au ndio mawazo ya nikizipata watanikoma!!