Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

Mzee what do you expect he is the hottest raper in the game right now alafu ukiacha hilo yeye huwa anazali kwanza kaanza kutoka ana 25 yrs man na linatoaga nyimbo kimasihara alafu zinakuwa bilbord namba moja

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo ujinga ndo siutakagi

Ela ndio huna ndugu ukiwa na hela yan unaweza ukajikuta unafanya mambo ya kipuuz sana, yan usiwaone kila bill gates kuna vitu ukienda kwao ukaonyeshwa ukiambiwa bei walizonunua utashangaa, hata mapainting ya ajabu tu utashangaa mtu kanunua dola 150000, kama daftari tu alilokuwa anaandikia mistari tupac lilikuwa auctioned kuanzia dola elfu 25 huko na kuendelea wazungu wanachezea hela sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siku akidanja tunamsubili na makoleo na majembe huku then tinafukia aridhini na mchwa wanafanya kazi yao.

Hii Ngozi kwa matumizi ya sifa haijambo. Na hayo madude ya gharama watengenezaji wameshajua waafrika ndio wanayapenda sana ili kujionyesha wao Ndio kila kitu. Ni wazungu wachache sana utawakuta wanafanya mambo ya gharama kubwa eti kwa ajili tu ya kujiona bab kubwa. Sidhani hata D Trump analalia godoro la hiyo gharama. Sijui ni ushamba au ndio mawazo ya nikizipata watanikoma!!
inferiority complex
 
Huyo Musk ni Mwafrika lkn sidhani anaweza chezea hela hivyo ata ka ako top tier ya madingi ulimwenguni. Yaani Drake pale kwake ni chenji, tena sioni akifanya huo utopolo 😂😂😂

Yule jamaa wa 'Apple' mwenyewe na hela alizokuwa nazo na bado familia inazo hadi wa sasa, lakini mtoto wake wa kike, alisema aliambiwa na babake akachape kazi, ili apate hela ya kujinunulia simu atakayo, sio yeye ampatie bure kisa mwenyewe kampuni ni yake, yule mzee alikuwa hapeani bure 🤣
 
Huwa haijalishi unalala mahala gan ila unapokuwa na furaha ya moyoni hata kwenye mkeka utalala ucngizi mtam sana
Wasema mkeka, mm nilipiga usingizi wa kishua kwenye simiti, yaani hadi asubuhi ndio naamshwa na askari wakipiga milango, ilkuwa selo hio. Walinishika patrol, Ishaisha iyo! 🤣 🤣 🤣 🤣

Popote kambi!
 
Watu wanaolala kwenye Magodoro kama hayo ndio walioundiwa ule msemo wa "good niht and enjoy your dream"

Watumiaji wa magodoro ya pale keko msemo huo hautuhusu, nasisitiza tena hautuhusu.
Hao wa keko ni wale unasikia 'kesho basi'... Ndio goodnight hiyoo! 🤣 🤣 🤣
 
Huyo Musk ni Mwafrika lkn sidhani anaweza chezea hela hivyo ata ka ako top tier ya madingi ulimwenguni. Yaani Drake pale kwake ni chenji, tena sioni akifanya huo utopolo 😂😂😂

Yule jamaa wa 'Apple' mwenyewe na hela alizokuwa nazo na bado familia inazo hadi wa sasa, lakini mtoto wake wa kike, alisema aliambiwa na babake akachape kazi, ili apate hela ya kujinunulia simu atakayo, sio yeye ampatie bure kisa mwenyewe kampuni ni yake, yule mzee alikuwa hapeani bure 🤣
Kuna akili na kuna roho mbaya...hii yake sasa ni roho mbaya tuu.
 
Acheni mawazo ya kimaskini na roho ya kwann waafrika na watanzania wenzangu ndio maana siku zote tunabaki masikini na kusononeka huku furaha yetu ikiwa ni kuona wale wenye nazo wakifirisika...Drake anaishi kwenye nyumba yenye thamani ya Tsh.

Billion 20 halafu wewe chokoraa unayeishi kwenye kibanda cha kupanga unalipa kodi elfu 50 kwa mwezi unasema hajawekeza ulitaka awekeze kwenye nn labda. Nashangaa mtu anaropoka eti kina Bill Gate wanavaa kawaida na kuishi maisha ya kawaida Sasa chukua hii siri zile nguo wanazovaa usichukulie poa kwa muonekano zile nguo ni za garama mno na wale hawanunui nguo dukani wanatengenezewa maalum kwa ajili yao na wanaishi maisha ya garama mno ambayo hata kina Drake hawagusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimekubali, huwezi mfananisha Drake na wenzie, na kina Bill Gates, Musk, Bezzos hata huyo Trump. Hiyo ni ligi ingine tofauti sana na wasanii 😂
 
Haa ina maana hilo godoro linameza wcbwaa,konde gang na kingmusic wote kwa pamoja balaa hili.....
lkn all in all hilo godoro haliwezi kuzidi Raha ya kumlalia mwanamke ha haaa kwendeni zenu na mahesabu yenu....
😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom