Watu wanaoa ‘connection’

Ni hatari sana si sawa mwanaume ashushe thamani yake kisa pesa.
Thamani gan unayoisemea hapa??
Kuna mwanaume ambaye hana pesa afu akathaminiwa na mwanamke?? Nyie wanawake mkitongozwa na mwanamme asie na pesa hua mnamthamini?

Nyie si ndo hua mnaleta nyodo,, mnamwangalia mwanaume juu mpaka chini!!!
 
Yeah self respect is important. Can't be fuccing random girls all around me.
Nimeipenda hiii!!
Unajikuta mtu wanawake watano wote humu wanajua bolo lako liliivoooo wanajua mbup zako zilivokaa same applies kwa wanawake nyieeee jf🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
Inafikia sehemu unakosa hata uhuru wa kujiachia humu mwisho wa siku unakimbia id yako aiseeehhh hapana hapana!
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kumbe kuna wenye mabwana watano humu
 
Niggas be looking for help in the name of a wife
Your browser is not able to display this video.
 
Unapoamua kumuacha Mungu na kupoteza tumaini kwake na kisha ukatumainia akili zako. Tegemea anguko tu
 
Thamani gan unayoisemea hapa??
Kuna mwanaume ambaye hana pesa afu akathaminiwa na mwanamke?? Nyie wanawake mkitongozwa na mwanamme asie na pesa hua mnamthamini?

Nyie si ndo hua mnaleta nyodo,, mnamwangalia mwanaume juu mpaka chini!!!
sijawah kuleta nyodo kwa watu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…