Watu wanaoa ‘connection’

Watu wanaoa ‘connection’

Mmmh kweli nakuamini mlongo wangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Wala asitake kutuchoraa, huyo rafiki yake ni apeche alolo ndo kaamua kuwa marioo wa style mpyaa, mjini hapa mlongo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inasemekana ati usioe au kuanzisha mahusiano na mwanamke aliyekuzidi matatizo...
 
Wala asitake kutuchoraa, huyo rafiki yake ni apeche alolo ndo kaamua kuwa marioo wa style mpyaa, mjini hapa mlongo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣 🤣 🤣 Super mario
 
Sema maisha magumu acha vijana waoe tu hao wakishua dah . Mtu chap anaendesha Prado hapa mjini . Mungu atuinue na sie tunaosaka chapa .
 
Ah wapi mimi mwenyewe natafuta connection hapa . Muoe wakishua huko na sie tupone kidunchu Extrovert
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahv wanaume wengi wanavyo jirahisishaa unabakii kuduwaaa, acha tyuuh Jua ni kali mnooo.
Mweeeeeeh
Vijana wanatafta connection hawataki mademu njaa njaa
 
Lovelovie Tinsley To yeye kumbe kuna baadhi ya wanaume wanaojiuza kwa wanawake, kuoa mwanamke usiempenda kisa ametoka familia tajiri, huko ni kujiuza..
Hiyo sio kujiuza, ni kama vile wanawake wanavyokwenda kwa "Mwanaume" wasiompenda, sababu tu ya kupata "uhakika" wa mahitaji yao na Maisha, kisha wanatafuta "wanaompenda" ki-chinichini . Sasa Wanaume nao wameona hiyo "Opportunity" au "window" na wanaitumia "effectively".
 
😂😂😂😁😁😁! Bado hujaopoa chombo kulee??!
Naona Mzee wa kuwekanaaa ERoni alikuencourage kuwa it won't be long utanyanyua chomboooo!! !
Kila la kheriiiiiiiiiii😃!
Mi humu huwa nina Tease tu, ila nikitaka 🙀 ni anytime!
 
Back
Top Bottom