Watu wanaoa ‘connection’

Watu wanaoa ‘connection’

Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa . Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection .
Wa kwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe kama zote zilifanywa , pisi ina elimu na pia ina connection na nyota sana . Every one around her made it . So you can imagine the party. I once dated the girl so I know( ilikuwa ina private contacts ya magu na mama enzi izo)

Now it’s a new trend . Money over anything . make it with your level or above your level .na Life has No chance of mistakes .
We men are now smarter than ever , beauty doesn't cut it Any more .

If you have a daughter, please do counseling mapema she should hold the right place .


Note : all my friends wapo educated enough , rich enough , they all went for more

Over and out 🫠
Mkuu hii ndio inayotakiwa unaangalia future mambo ya sura na umbo linakupeleka wapi maisha mazuri ndio mpango, binafsi nashangaaga vijana wanahangaika na urembo wa kazi gani kwenye maisha magumu haya na tuliioa kamuda kidogo kuna kipindi kinafika mapenzi sio kipaumbele sana unafokasi na maisha kuna ada, bills mbalimbali na mahitaji ya watoto wafurahi baba yupo wakati hio hata urembo haukumbukwi tena.
 
HeHe Kweli Kuna Kipindi Nlikua Nawazaga Kuoana Kishua na Kishua Mwenzako Mambo Yana Straighten Up….Ila its sumtyms not the case….[emoji1787][emoji38][emoji1787]

Majumba ya watu yana siri nyingi sanaa.

Baadae Nikaja Learn The Best Thing A Woman Can Ever Give A Man Is Peace of Mind. Amini

Nimeshaona Cases Nyingi Sanaa Kishua Kaoa Kishua alooo drama ni nyingi mnooo and yes wengi nao wajua wame divorce

Ila doesnt mean hamna successful marriages zipo ila zina changia na malezi ya both of them hasa mwanamke. Ukipata dem kishua sana ila kwao alilelewa Ki Kaxx Chances Man Utafurahia Sana Ndoa, This is from my experience after observing a number of families na relationships ambazo mimi nimepitia in the past.
Wengi wanakujaga na akili zao za haki sawa. shida ndo inapoanziaga hapo,halafu unakuta upande mwingine mwanamke kiuchumi yuko njema ana jeuri ya pesa tokea kwenye familia yake alipokulia, hapo lazima pachimbike
 
Wealthy = pisi mbovu
Not wealthy = pisi kali

images (44).jpeg
 
Back
Top Bottom