Watu wanaoa ‘connection’

Watu wanaoa ‘connection’

Huyu mshikaji wangu wa pili ana oa mtoto wa kibopa. Yani pisi ya kawaida sana to the point tunajua amefata life completion na connection.

Wa kwanza alioa pisi moja ni zaidi ya kawaida ila sherehe kama zote zilifanywa, pisi ina elimu na pia ina connection na nyota sana. Every one around her made it. So you can imagine the party. I once dated the girl so I know (ilikuwa ina private contacts ya Magu na Mama enzi izo).

Now it’s a new trend, money over anything; make it with your level or above your level na life has no chance of mistakes. We men are now smarter than ever, beauty doesn't cut it any more.

If you have a daughter, please do counseling mapema, she should hold the right place.

Note: all my friends wapo educated enough, rich enough, they all went for more.

Over and out 🫠.
Sooo truee
 
Wanawake wa kishua.. wana stress chache kuliko wanawake wetu wa kuunga unga maisha.

Ndoa ya mwanamke wa kiswahili inatolewa macho na ukoo wake wote. Kila mtu mshauri wake. Kila mtu ndugu anawatembelea na kuleta maneno.

Familia za kishua ziko bize na mambo yao. Ndoa inakuwa haina usumbufu wa third party
Hii ndio advantage ya kuoa ushuani, kitu ambacho utakiona sana labda ni mialiko na parties za kuwakutanisha ila sio mambo ya uzandiki.

Halafu wanawake wa kishua wengi wanakuwaga independent thinking yani haitaji mshauri kufanya maamuzi. Wanafanya kile wanachopenda wao kufanya.

Ukipata familia ya kishua iliolea kwa misingi na maadili ya kiafrika hakika umepata mke mwema
 
hahaha chuki ipi jamani , ndo mwanaume uendeshwe kama gari mbovu kisa pesa . Nataka saa kumi uwe hapa na wewe unatii tu jamani hapana . Mwanaume ni kichwa
Huyo ni ndezi, baharia huwezi kumpangia ratiba utachoka na nafsi yako 🤣
 
Nina jamaa alioa mke kwasababu hizo hizo,demu alikuwa wakishua. Kinachotokea sasa hivi, jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wa kishua.. wana stress chache kuliko wanawake wetu wa kuunga unga maisha.

Ndoa ya mwanamke wa kiswahili inatolewa macho na ukoo wake wote. Kila mtu mshauri wake. Kila mtu ndugu anawatembelea na kuleta maneno.

Familia za kishua ziko bize na mambo yao. Ndoa inakuwa haina usumbufu wa third party
Ahsanteeeeeee studiooo.
 
Back
Top Bottom