Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

Mambo mengine ni mantiki kidogo tu,kama wanaoishi Karibu na Miata hawana akili,basi wafanyakazi kwenye minara hiyo ni machizi kabisa!!maana wafanyakazi wa makampuni ya minara,ndio wanapata mionzi zaidi !!
Sasa kama hawana akili,wanaweza vipi kufanya kazi za uhandisi,engineeri g,zinazohitqjika kukuza haya makampuni ya minara??
Fikra kidogo tu jombaa
 
Hamna nilikuwa naishi jirani na eneo lenye minara kibao lakini nilikuwa natusua Sana hasa maths na sciences ,
 
Back
Top Bottom